Kanisa katoliki ndio mfano halisi wa maisha ya mwanadamu pale unaposhambiwa ukisimamia misimamo yako unakuwa imara
1. Kuanzia mavazi , mashati ya kichungaji yenye colour nyeupe ( Roman colours) ni hati miliki ya ubunifu wa wakatoliki wanazitumia lakini wanawadharau
2. Mifumo ya ibada ( liturgy) ni ya kikatoliki iliyoandaliwa na ma philosophers maaskofu wa kikatoliki kama Thomas of Aquinas, Saint. Augustine nk, wamezibeba na kwenda ku eddit lakini bado wanadharau kanisa katoliki
3. Zamani wakati wanaeneza harakati zao,walianza kukosoa ibada za kikatoliki kama heshima kwa Mama Maria , mpaka wakawa wanamuita baasha lakini siku hizi naona kaakili kamewajia kidogo hata Rozari wanawavalisha watoto wao japo hawajui kuzisali
4. Ibada iliyoitwa ya sanamu, ilikuwa ndio ajrnda yao enzi zilie makanisa yao yalikuwa ya kulia lia kabla hawajaenda Nigeria kujifunza technolojia ya upako, makanisa yao hata msalaba yalikuwa hayana ila siku hizi msalaba mkuubwa wanavaa na kuweka makanisani mwao
5. Mfumo wa uongozi wa kanisa kuna baadhi wamadumisha lakini wengine wanataka kujimilikisha kanisa , mali za kanisa ni za binafsi kwenye kugombea madaraka na mali za kanisa zimeleta taswira mbaya na kuuchafua ukristu.Wakati mfumo wa kipapa mali za kanisa na za kanisa na kiongozi wa dinin ana pangwa sehemu na kuhamishws muda wowote na kupelekwa sehemu yoyote duniani na kuacha kila kituz