Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

Holiness inatokea wapi why not bishop Francis au father Francis hiyo holy father huoni ni ya Mungu wa Mbinguni mkuu hebu nisaidie
Mkuu; Kiswahili kimetohoa kutoka lugha kongwe ya Kiingereza; labda wenyewe waingereza wanajua maana yake kuliko sisi. Pengine wakati sisi akili zetu tukiona neno holiness tunakimbilia "mtakatifu" huenda lina maana tofauti au maana nyingi. Ila angalizo; holiness sio sawa na saint!
 
Mm mkatoriki Ila npo confused Padre hajibu hoja anarukaruka nmezani huku yupo wa kunieleweza nanyinyi mnarukaruk tu nmewauliza why mtu ajiite baba mtakatifu
Mnasema mala cheo sijui alipewa na Mungu hamsemi hata kanisa limetokeaje
Nauliza why Roho mtakatifu apewe limit lazima afundishe SoMo moja dunia nzima
Why ijumaa kuu tuabudu msalaba hakuna hoja naona makasiriko tu yamejaa
 
... acha kuchomeka hoja mpya! Hoja yako ilikuwa kwanini aitwe Baba Mtakatifu? Nimekujibu ni English-equivalent ya His Holiness ambavyo ndivyo waingereza wana-address baadhi ya viongozi wa kidini duniani wala hawamaanishi kwamba viongozi hao ni watakatifu kama unavyofikiri wewe. Na nikakueleza His Holiness sio sawa na Saint! Jikite kwenye hoja tafadhali. Sihitaji kujua wewe ni mkatoliki au la!
 
Kwa hiyo mkuu unataka uibadilishe maana ya Holiness uiitije Sasa kwa kiswahili
 
... baadhi ya maneno yana maana zaidi ya moja; vivyo hivyo kwa holiness! Sijui kwanini umeng'ang'ania unachopenda kusikia wewe badala ya maana ya matumizi ya neno katika muktadha husika. Rejea link hiyo ukaone holiness lina maana tatu ... Holiness - Google Suche
 
Kama jaji wa michongo anaitwa Mtujufu Jaji unashangaa mkuu wa kanisa la Mungu ulimwenguni kuitwa Baba Mtakatifu
Haha pia wanasiasa nao hawapo mbali utasikia “mtukufu raisi”.
 
Wapi kuna papa hapo ndugu.

Na hiyo Roman Catholic mbona umeipachika? Kama ingekuwa na umuhimu mwinjili angeiweka mwenyewe.

Naona unaongeza maneno ambayo kwenye biblia hayapo
Kuna Petro hapo ndugu, au hujaiona? Hakuna Gwajima wala Kakobe wako
 
... baadhi ya maneno yana maana zaidi ya moja; vivyo hivyo kwa holiness! Sijui kwanini umeng'ang'ania unachopenda kusikia wewe badala ya maana ya matumizi ya neno katika muktadha husika. Rejea link hiyo ukaone holiness lina maana tatu ... Holiness - Google Suche
Unaamin Google kuliko Bible Yesu kamuita Baba mtakatifu Mungu kwani hakujua neno Lina meaning mbili mbona unatumia nguvu kubwa kumwita mtu Mungu mkuu
 
... Kiingereza Papa anatambulishwa kama Holy Father? Au unajitoa ufahamu?
 
Swali mbona lko wazi ndugu.
Nataka uniambie kristu alianzisha lini hilo kanisa na lilianzishwa wapi?
Soma mathayo 16:14 -21 ama soma mpaka aya ya 27 kisha soma maisha ya mitume wote uinjilishaji wao na vifo vyao wote. Kisha uje utuambie
 
Mm mkatoriki Ila npo confused Padre hajibu hoja anarukaruka nmezani huku yupo wa kunieleweza nanyinyi mnarukaruk tu nmewauliza why mtu ajiite baba mtakatifu
Mnasema mala cheo sijui alipewa na Mungu hamsemi hata kanisa limetokeaje
Nauliza why Roho mtakatifu apewe limit lazima afundishe SoMo moja dunia nzima
Why ijumaa kuu tuabudu msalaba hakuna hoja naona makasiriko tu yamejaa
Una matatizo ya akili, kuna comment hapo juu umeandika kuwa haupo kwenye ukatoliki halafu now unajifanya wewe ni mkatoliki, Mistress ebu cut the act.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu"

Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.

Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana baba yao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.

ya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki

Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Kwahiyo wewe baba yako mzazi unamwita Anko?
 
Back
Top Bottom