wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 857
Ni kufuatilia alifanya nini katika kusaidia watu hapa duniani hii ni baada ya kifo, jambo lingine maandiko yanasema watakatifu Bora ni wale walioko duniani maana yake watakatifu Bora ni wale walio hai duniani. Sasa ukichunguza utagundua wengi wa watakatifu wote wamesha tangulia mbele ya haki na ndio walio chaguliwa na binadamu na si Mungu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app