Ni kufuatilia alifanya nini katika kusaidia watu hapa duniani hii ni baada ya kifo, jambo lingine maandiko yanasema watakatifu Bora ni wale walioko duniani maana yake watakatifu Bora ni wale walio hai duniani. Sasa ukichunguza utagundua wengi wa watakatifu wote wamesha tangulia mbele ya haki na ndio walio chaguliwa na binadamu na si Mungu.
Ukitafita hela mawazo na fikra ulizonazo zitakukimbia tafuta hela itakusaidia tafuta hela utawaza ya msingi ,ukitafuta hela utagundua hakuna kanisa lenye sadaka nyingi,hakuna dagaa wa nyama,unapunguza dhambi