Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Amina.Barikiwa sana Mtumishi.Kuna Kanisa 'Takatifu' Moja tu Katoliki la Mitume Duniani ambalo humo Kuna Watakatifu sio mmoja ni Wengi Wanapatikana.
Sasa huko mliko kama mna Uhakika hakuna Watakatifu basi ni wakati Sasa Wa Kukata shauri Rudini
Katika KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME!!
Bwana mkubwa, naomba nikujibu hivi, Kanisa Katoliki linapomwita kiongozi wake "Baba Mtakatifu", haina maana kuwa yeye ni Mtakatifu.Isipokuwa kiti anachokalia ni kitakatifu, hivyo Kuitwa "Baba Mtakatifu" Kunamwajibisha yeye kujibidiisha kuutafuta Utakatifu.Kwa kuzingatia kuwa yeye ni binadamu na anaweza kukosea Papa naye huwa anaungama ili kufanya Upatanisho kati yake na MUNGU,Mara kadhaa tumekuwa tukimsikia Papa Francis akisema "Yeye si mkamilifu,ni mtu mwenye dhambi",Kwa taarifa yako Papa Francis anaungama mara mbili kwa wiki.Tafsiri yake ni Nini hapo?,Ni kwamba anajua kuwa kile kiti kinamdai yeye kuwa Mtakatifu,sasa anajitahidi kutubu mara kwa mara ili kudumisha hali Njema ya Kiroho.Ndio maana basi sio Mapapa wote waliotangazwa kuwa Watakatifu sababu inaweza kuwa ni kutokana na kutotimiza matakwa ya MUNGU ktk Utumishi wao.Nikwambie tu ndugu yangu kuwa Kila siku huwa tunaalikwa kumuombea Baba Mtakatifu ili aweze kushinda nguvu za yule mwovu.Kwa kuhitimisha ni kwamba Baba Mtakatifu haimaanishi kuwa yeye ni Mtakatifu Bali kiti au cheo kile ni kitakatifu hivyo kinamdai yeye kuishi Kitakatifu.Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Mtu anajipa mwenyewe utakatifu kwa kuliishi kusudi la Mungu, umenielewa???Vp ma. Pengo hamuwezi mpa utakatifu yule shoga wa pale st. Petro osterbay
Basi na Mimi Leo naomba wakatoliki mniite mtakatufu tafadhaliMtu anajipa mwenyewe utakatifu kwa kuliishi kusudi la Mungu, umenielewa???
Siyo swala la kuitwa, ni wewe mwenyewe kuishi maisha ya kitakatifu....umeelewa???Basi na Mimi Leo naomba wakatoliki mniite mtakatufu tafadhali
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu"
Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana baba yao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
ya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Ninavyojua mimi watakuja na matusi, kejeli na kujikweza na si maandiko. Wakileta maandiko ni tag
Una swali zuri mkuu na huu ni mjadala mpana lakini kwa hali ilivyo usitegemee kupata majibu humu labda ungewauliza mapadri wale jamaa wanasoma sana huenda ukaokota chochote kitu lakini kwa hii jf sidhani maana wengi watajibu kwa hisia tu
Rumi haijawahi kua Takatifu .Kuna Kanisa 'Takatifu' Moja tu Katoliki la Mitume Duniani ambalo humo Kuna Watakatifu sio mmoja ni Wengi Wanapatikana.
Sasa huko mliko kama mna Uhakika hakuna Watakatifu basi ni wakati Sasa Wa Kukata shauri Rudini
Katika KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME!!
Waafrika bana. RomanPapa Francis sio mtakatifu na wala sio kila papa ni mtakatifu ndio maana kuna mapapa wachache ambao tunawaita watakatifu. Sababu ni kwamba Cheo cha Upapa ndio Cheo kitakatifu kwa kuRefer maneno ya Yesu mwenyewe alipomteua Peter kua papa wa kwanza Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa (Roman Catholic)langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Kama wewe uilishasoma hio mathayo na huo uinjilishaji unashindwa nni kuataja wakati gan kristu alianzisha hilo kanisa na ilikua wapi?Soma mathayo 16:14 -21 ama soma mpaka aya ya 27 kisha soma maisha ya mitume wote uinjilishaji wao na vifo vyao wote. Kisha uje utuambie
Njoo Ujiunge Ukatekumeni Kwanza....Ukishaelewa nini Maana Ya Ukatoliki, tunakubatiza na mengine yatafuata.Basi na Mimi Leo naomba wakatoliki mniite mtakatufu tafadhali
Jibuni hii hoja na hayo mauaji ilitokeaje wakati Baba mtakatifu yupoRumi haijawahi kua Takatifu .
Mpaka Yesu anazaliwa, Rumi ilikua ikitawala kiserikali ( haikua na Dini).
Rumi hiyo ya kiserikali ilikua ina Sheria zake, tamaduni zake , mila zake , kama vile Kuabudu mungu Jua, Sanamu za wakuu wake, Miti ( huu unaotumika kwenye Christmas) kwakua ni mti uliokua unahimili hali ya ukame, ivo ukachaguliwa kama mungu wamimea, waliabudu mungu mwanamke n.k.
Yesu anazaliwa mpaka anaanza kazi zake, watu wakamfuata ,nao wakaitwa WAKIRSTO ..yaan watu wa Yesu Kristo. .
Yesu anasulubiwa, anaacha wanafunzi wanaichapa injili Dunia .
Aliyekua Papa wa Rumi ya kiserikali COSTANTINE , Baada yakuona mapambano dhidi ya ukrsito yameshindwa na kwamba Tamaduni za Roma zinaelekea kupotea.
aliamua mwenyewe ,kujiingiza katika Ukristo na kua KIONGOZI MKUU wakwanza wa Rumi kua Mkristo.
Ni katika huo Ukristo wake aloingia, ndio akafanikiwa baadae kwanza, kuitenga Jumapili kua ibada Dunia nzima( akijua kwa kuiabudu siku hiyo ya jumapili ya mungu Jua ), Kua Krismas ifanyike 25 /12 kuendelea kusherekea mungu wa mimea n.k n.k .
Sasa nn kilichotokea ???
Baada ya Rumi sasa kua na mamlaka mbili za kiserikali na Kidini , wapo wakrsto baadae waloona hapana, Rumi inaenda kinyume na Mafundisho ya Yesu .
Wakristo hao wakajitoa kwa Rumi nakuanzisha makanisa yao ,namiaka ilivyozidi kusogea wakazidi kujiondoa na kuanzisha makanisa ndo ambayo Leo yapo.
ROMA, HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.
LABDA KAMA HUIJUI HISTORIA,
wazijua zama za Giza????
Ambapo Rumi hii , ilikua Wakristo zaidi ya million???..( gugo ).
Rumi iliua Wakristo mpaka mwaka 1798 ambapo Papa alichukuliwa mateka na Majeshi ya ufaransa , ndo ukawa mwisho wa mauaji ya Wakristo.
Mambo ni mengi , Ingia tafuta vitabu usome !!..... ROMA HAIJAWAH KUA KANISA LA MITUME.
Huna akili jikite kwenye hoja,huyo uliyemtaja una ushahidi upi ni shoga?Vp ma. Pengo hamuwezi mpa utakatifu yule shoga wa pale st. Petro osterbay
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna akili jikite kwenye hoja,huyo uliyemtaja una ushahidi upi ni shoga?
Unastahili kula ban,kwa bahati mbaya mods hawajui wanachokifanya humu.
@paws hawa wanaotweza utu wa viongozi wetu muwe wepesi kuwashughulikia.
Utuache na mtakatifu wetu, hakuhusu. Mbona tukimuita Yesu ni Mungu hushangai? Sisi tuna utaratibu wetu ambao sio lazim uwe sawa na utaratibu wa dini yako.Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2065357