Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

Kwa misingi ya kanisa katoliki... Ukiwa nje ya code huwezi kuelewa na wala hupaswi kuamini.
 
Ahsante sana kwa Chakula cha ubongo umemaliza kila kitu
 
Duuh..uongo huu..wapi Yesu alimteua petro kua papa?..andiko lipi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Swali la kijinga bila shaka linamtabulisha vizuri muulizaji
 
Tafasiri na nukuu za kisabato!
 
Utakatifu ni wa MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA VILIVYOMO KATIKATI YAKE NA JUU YAKE. Sisi wengine ni Mbwembwe tuuuu za kuvalia MAGAUNI
 
Na vyote alivyoviumba ni vitakatifu vyake! Watu wema watakatifu wake,Nyumba takatifu za kumuabudia,mahekalu matakatifu n.k
 
Unachezea Koki Utalowana
Unagusa Mzinga Wa Nyuki
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Sawa tu na mtume Mohammed, wale ni wasanii tu wanapeana wenyewe ufalme.
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Wewe ni Mkatoliki?
 
Kwa hiyo siyo YHWH tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…