Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

Kitima Ebu mtoeni huyu Mzee mana yawezekana ana shida pahala.Mfukuzeni asituletee
 
Haya mambo Papa aachane nayo, atakaye bariki abariki asiyetaka kubariki asibariki.
kwanza ni maneno mazur mazur ambayo wakristo wanapenda kujitungia ambayo hayana uhalisia wowote kwa mtu mwenye akili timamu, hivi inawezekana vipi binadamu akawa na mamlaka ya kubariki binadamu mwenzake? inawezekanaje kiuhalisia mwenye uwozo wa kubariki na mtu kwel akabarikiwa ni mwenyezimungu tu hao wngine wote wababaishai wanaongopeana mtu anambariki mtu mwenzie baada ya kubarikiwa ndio Unakuta ndio anazid kulaanika. hakua ukubarikiwa na mwanadamu mwenzio mwenye madhambi kibao ni kutiana ujinga tu
 
Tatizo la viongozi design hii,hawataki aone kama anakosolewa ,wanataka wao ndio waonekane washindi hata katika mambo ya kipuuzi ,hapo anatoa mifano isiyo na kichwa wala miguu,mapezi ya jinsia moja ni against neno la Mungu na nature why forcing.
 
Hizi taasisi za dini ni taasisi za kipumbavu tu. Dini ni utumwa. Ni kifaa cha kudhibiti watu. Na wazungu wamezitumia vizuri dini kuwadhibiti Waafrika. Hii ajenda yao ya ushoga itapenya tu kwenye kanisa. Hata kama sio leo, basi miaka 100 ijayo mashoga watakuwa mpaka mapadri.
 
Dunia imebadilika sana. Hivi sasa hata mashoga wanashika nyadhifa za juu sana katika uongozi ktk nchi na taasisi mbalimbali.
Dunia ni ya shetani, hao mashoga hata ufaransa waziri mkuu ni shoga. Mbaya sana huko kwa wakatoliki nako kunaanza kupigiwa chapuo.
 
Hizi taasisi za dini ni taasisi za kipumbavu tu. Dini ni utumwa. Ni kifaa cha kudhibiti watu. Na wazungu wamezitumia vizuri dini kuwadhibiti Waafrika. Hii ajenda yao ya ushoga itapenya tu kwenye kanisa. Hata kama sio leo, basi miaka 100 ijayo mashoga watakuwa mpaka mapadri.

Mbona mapadiri mashoga wako huko Roma kitambo tu.
Kuna kesi kibao mapadre wamedhalilisha kingono watoto wadogo wa kiume.
 
Ila pope yupo sahihi..
Watu ni wanafiki sana hata kwenye huu uzi wapo
 
Back
Top Bottom