Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

nimaamini hili fashisti lina uhusiano na ndama. Ninamfahamu vizuri sana ndama. Ndama shaabani amepata utajiri wa ajabu. Ndama alimaliza shule ya msingi ubungo n.h.c mwaka 1989 na akasoma tambaza sec 1990 - 1993. Ndama alikuwa karibu sana na lile jangili puzza (william jackson)janafunzi la tambaza lililojiua nyumbani kwao nmabibo mwezi june mwaka 1991.

Ninaamini kuna connection na police kwani ndama ana undugu na igp said mwema. Kumbuka ndama alikuwa na kesi ya mauaji ya albino.....na alikamatwa .....lakini huwezi amini ile kesi haijulikani imeishaje......
huyo puzza alifanya nini cha ajabu??
 
Huwezi kusema Msofe na vijinga vyenzake vina hela,kwani utajiri wa mtu unapimwa kwa kuendesha gari zuri lakini ni la uwizi na lina utata kwenye kodi au kuwa na nyumba ambayo umedhulumu au umejenga kwenye kiwanja ulicho dhulumu? ua kutunza hela kwenye taarabu?,Huyo Msofe katika hivyo vijumba vyake mbona ha miliki nyumba Prime areas like MASAKI,ambapo angeishi na wanene like Bakhressa,Mkono,Said wa HomeShopping,Yeye anajibana Mikocheni mvua ikinyesha hakuna tofauti na Sinza.Nyie mna danganyika na Demo life,mnajiona mko inferior.Msofe alisha choka dili zilikataa mwishoni alikuwa ni dalali wa magari.Na yule Said Ntimizi yupo wapi naye?amepigika kama mpira wa makaratasi kajificha Mbweni kuja mjini ni ishu kama ilivyo kuwa kuweka maji kwenye pool yake.Need i say More?????????
kwani masaki kiwanja sh.ngapi?
 
Msofe atatoka tuu

jamaa namfaham toka enzi za salamander pale opposite na ngazi 5 na swahiba wake alikuwa muuza juice pale anaitwa Lugano

Msofe ana hirizi mkononi inapumua

mengie watoto wa mjini watakuja kuzimwaga lakini catalogue yake iko quite impressive

mnajua msofe almanusra asababishe serikali ya Ujerumani kuikatia misaada Tanzania?

Mnajua kuwa msofe hakanyagi ulaya na hata dubai kwake kuna kipindi ilikuwa kama kituo cha polisi?


I hope Mods hawatoihamisha kuna utamu mwingi sana na nashangaa ilikuwaje hajawa legit
Amepata adabu kidogo eeh
 
Msofe ni mojawapo ya junguluke au mpigaji,huyu ndo mojawapo ya matapeli wakubwa hapa tz.Hao walikuwa wanaibia wazungu buashara hewa za madini,alikuwa anatapeli hadi million 900 kwa mkupuo mmoja.Mzigo unauona bandari nawe unaamini biashara hiyo kuwa ni salama kumbe kanyabonya tu,na ukishapigwa kanyaboya ukiwafuatilia passport itagongwa muhuri wa mtu huyu hatari kwa tz no entry.Mtandao wao ni kubwa unahusisha pia na baadhi ya wafanyakazi wa serikali.
Duh!!!!,Km ni kweli,basi acha avune alichokipanda.
 
Back
Top Bottom