Papaa MSOFE ashindwa kufika mahakamani

Papaa MSOFE ashindwa kufika mahakamani

billduke

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
860
Reaction score
898
attachment.php


MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa Msofe leo ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi yake baada ya kuugua.
Papaa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli, wataendelea kusota rumande baada ya kesi hiyo kuahirishwa mpaka Novemba 18, mwaka huu itakaposikilizwa kuvuta subira ili upelelezi ukamilike.


GlobalPublishers
 

Attachments

  • PAPAAMSOFE3.jpg
    PAPAAMSOFE3.jpg
    31.5 KB · Views: 3,517
kuumwa lazima, maana mchumba wake watu walishaoa.
Nadhani hata honeymoon hawajamaliza.
 
kweli kabisa, harusi ilifanyika karimjee hall, reception ikafanyika serena hotel.
Mzee wa kaya ndani siku ya reception.

Atakuwa kasubiri sana..with no hope and she threw in the towel...!!
 
Atakuwa kasubiri sana..with no hope and she threw in the towel...!!

maybe. Maana hajachelewa.
Alivyoweka kizuizini tu, binti nae akapata wenye pesa wenzie.
Ilikuwa booongeee ya sherehe.
Yule binti mzuri jamani.
 
Hivi Makongoro Nyerere yuko naye Lupango au ni mwingine?
 
Back
Top Bottom