kichunafk
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 992
- 479
mdada wa wapi huyuuu...?!!
kanda ya ziwa.
Mama yake nadhani ni mjita na baba ni msukuma.
Wazazi wanaishi mwanza.
Alishiriki miss tanzania back then na alikuwa miss kanda ya ziwa namba moja ila sikumbuki mwaka gani