Pape Osman Sakho Special Thread

Pape Osman Sakho Special Thread

Thread zingine zina jaza jamvi tu kuna thread ya jukwaa la simba tu kuna thread ya mechi ya simba ya leo kwanini uje uanzishe uzi mwingine tena kama sio kukosa kazi.
 
Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
MAKOLO bhana[emoji16] tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo[emoji1787]

Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors [emoji38]
 
MAKOLO bhana[emoji16] tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo[emoji1787]

Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors [emoji38]
vipi lile goli la bicycle kick dhidi ya asec mimosas pale taifa
kisinda mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom