Pape Ousmane Sakho na Sadio Kanoute' Haya ndiyo mambo tulikuwa tunataka Simba SC

Banda+sakho+Bwalya- 4 GOALS
Denis nkane- 4 GOALS
Namba hazidanganyi jamani
Matches zipi hawa watu wanacheza? Maana unakuta mchangani matches na international matches. Haya mambo ndo unakuta unamlinganisha Sakho na akina Mayele wanaocheza matches za mchangani. Watu wanafanya mambo kwenye matches za Kimataifa. Matches kubwa ambazo Dunia inaangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…