Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakufa mdomo waziThubutu yake, bado anaweweseka, sasa hivi anasema ukaribu wa Kocha Cisse na Agency wa Sakho ndo sababu ya kuitwa National Team.
Wewe ndio tahaira kabisa ebu nitajie wachezaji walioitwa timu ya taifa Mali, Wachezaji walioitwa kutoka afrika ni wangapi kabla ujaweka uharo wako hapa, Alafu ukimaliza utuambie senegal iko nafasi ya ngapi kwenye fifa ranking na Mali iko nafasi ya ngapi kwa sasa, Ujuaji mwingi but nonsense!Eti Mbona Ki kaitwa Burkinafaso, Mayele Kongo, Musonda Zambia, Diara Mali, hivi hayo mataifa unalinganisha na Senegal kimpira? Wewe kweli mwehu, mbona Simba kuna Henock kaitwa Kongo, Chama kuitwa Zambia kama hivyo mbona ni kawaida tu
Huyu amekuwa gumzo kwasababu wanaingia kikosini na akina Sadio Mane (Bayern Munich) Boulaye Dia (Villareal) Bamba Dieng (Loliente) Dialo (Strasbourg) Sarr (Watford) Koulibaly (Chelsea) na kuna wengine hawajaitwa lakini wapo Ulaya.
Ndo maana Edo alisema akiitwa Sakho timu ya Taifa anaacha kazi kwasababu alisema Senegal ina wachezaji wakubwa wanaocheza Ulaya.
Halafu unalinganisha Kongo, Mali, Burkinafaso kwa Senegal..?! Mkiambiwa wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazo kaeni kimya.
Angalia huyu Mwehu, si umeulizwa hapo juu kuwa Senegal na Mali viwango vya Ubora Afrika sawa? Mbona hukujibu..?!Wewe ndio tahaira kabisa ebu nitajie wachezaji walioitwa timu ya taifa Mali, Wachezaji walioitwa kutoka afrika ni wangapi kabla ujaweka uharo wako hapa, Alafu ukimaliza utuambie senegal iko nafasi ya ngapi kwenye fifa ranking na Mali iko nafasi ya ngapi kwa sasa, Ujuaji mwingi but nonsense!
Huyo mwacheni ngoja nimshushie rank hapaAngalia huyu Mwehu, si umeulizwa hapo juu kuwa Senegal na Mali viwango vya Ubora Afrika sawa? Mbona hukujibu..?!
Poleeeeeee kwa kutesekaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo hua unang'ang'ana tu sio yako
Harishaa ukitakaaa, pants zipoo.Ndio mambo yako hayo ya kunya kunya
Hayo mataifa yote hata yakiungana haifikii Senegal.Akuna wivu mnaonekana mlivyo na kaujinga fulani hivi vichwani mwenu, kwani yanga imetoa wachezaji wangapi walioitwa kwenye timu za taifa ambazo ni kubwa? Mbona atujaona wanapiga kelele hapa? Diarra kaitwa Mali, Azizi ki kaitwa burkinafaso, Mayele kaitwa kongo, Aucho kaitwa uganda, Musonda kaitwa zambia, mbona wao wametulia tuli bila mapambio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibuu vizuri kabisaaaaEti Mbona Ki kaitwa Burkinafaso, Mayele Kongo, Musonda Zambia, Diara Mali, hivi hayo mataifa unalinganisha na Senegal kimpira? Wewe kweli mwehu, mbona Simba kuna Henock kaitwa Kongo, Chama kuitwa Zambia kama hivyo mbona ni kawaida tu
Huyu amekuwa gumzo kwasababu wanaingia kikosini na akina Sadio Mane (Bayern Munich) Boulaye Dia (Villareal) Bamba Dieng (Loliente) Dialo (Strasbourg) Sarr (Watford) Koulibaly (Chelsea) na kuna wengine hawajaitwa lakini wapo Ulaya.
Ndo maana Edo alisema akiitwa Sakho timu ya Taifa anaacha kazi kwasababu alisema Senegal ina wachezaji wakubwa wanaocheza Ulaya.
Halafu unalinganisha Kongo, Mali, Burkinafaso kwa Senegal..?! Mkiambiwa wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazo kaeni kimya.
Litakufa limesimama wimaa, na lile pua lake km chenza bichi.Litakufa mdomo wazi