Pape Sakho aitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal

Sasa hilo li Edo limeshaacha kazi?
Thubutu yake, bado anaweweseka, sasa hivi anasema ukaribu wa Kocha Cisse na Agency wa Sakho ndo sababu ya kuitwa National Team.
 
Eti Mbona Ki kaitwa Burkinafaso, Mayele Kongo, Musonda Zambia, Diara Mali, hivi hayo mataifa unalinganisha na Senegal kimpira? Wewe kweli mwehu, mbona Simba kuna Henock kaitwa Kongo, Chama kuitwa Zambia kama hivyo mbona ni kawaida tu

Huyu amekuwa gumzo kwasababu wanaingia kikosini na akina Sadio Mane (Bayern Munich) Boulaye Dia (Villareal) Bamba Dieng (Loliente) Dialo (Strasbourg) Sarr (Watford) Koulibaly (Chelsea) na kuna wengine hawajaitwa lakini wapo Ulaya.

Ndo maana Edo alisema akiitwa Sakho timu ya Taifa anaacha kazi kwasababu alisema Senegal ina wachezaji wakubwa wanaocheza Ulaya.

Halafu unalinganisha Kongo, Mali, Burkinafaso kwa Senegal..?! Mkiambiwa wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazo kaeni kimya.
Wewe ndio tahaira kabisa ebu nitajie wachezaji walioitwa timu ya taifa Mali, Wachezaji walioitwa kutoka afrika ni wangapi kabla ujaweka uharo wako hapa, Alafu ukimaliza utuambie senegal iko nafasi ya ngapi kwenye fifa ranking na Mali iko nafasi ya ngapi kwa sasa, Ujuaji mwingi but nonsense!
 
Angalia huyu Mwehu, si umeulizwa hapo juu kuwa Senegal na Mali viwango vya Ubora Afrika sawa? Mbona hukujibu..?!
 
Screenshot_20230318-174354_Chrome.jpg
 
Akuna wivu mnaonekana mlivyo na kaujinga fulani hivi vichwani mwenu, kwani yanga imetoa wachezaji wangapi walioitwa kwenye timu za taifa ambazo ni kubwa? Mbona atujaona wanapiga kelele hapa? Diarra kaitwa Mali, Azizi ki kaitwa burkinafaso, Mayele kaitwa kongo, Aucho kaitwa uganda, Musonda kaitwa zambia, mbona wao wametulia tuli bila mapambio?
Hayo mataifa yote hata yakiungana haifikii Senegal.
Poleee kwa kutesekaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti Mbona Ki kaitwa Burkinafaso, Mayele Kongo, Musonda Zambia, Diara Mali, hivi hayo mataifa unalinganisha na Senegal kimpira? Wewe kweli mwehu, mbona Simba kuna Henock kaitwa Kongo, Chama kuitwa Zambia kama hivyo mbona ni kawaida tu

Huyu amekuwa gumzo kwasababu wanaingia kikosini na akina Sadio Mane (Bayern Munich) Boulaye Dia (Villareal) Bamba Dieng (Loliente) Dialo (Strasbourg) Sarr (Watford) Koulibaly (Chelsea) na kuna wengine hawajaitwa lakini wapo Ulaya.

Ndo maana Edo alisema akiitwa Sakho timu ya Taifa anaacha kazi kwasababu alisema Senegal ina wachezaji wakubwa wanaocheza Ulaya.

Halafu unalinganisha Kongo, Mali, Burkinafaso kwa Senegal..?! Mkiambiwa wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazo kaeni kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibuu vizuri kabisaaaa
 
Back
Top Bottom