Pape Sakho atimkia Ufaransa

Pape Sakho atimkia Ufaransa

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa [emoji632] umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba.
20230724_105340.jpg
 
[emoji599] DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa [emoji632] umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba View attachment 2697547
Kwani wachezaji wa Tanzania tatizo liko wapi?

Tunakwama wapi?
 
Ma agent...
Wabongo hatuna ma agents level hiyo..
WA Nigeria na west Africans now wako Wengi Sana hiyo sekta
Sasa mtu kama Kazumari naye ajiite Agent unatarajia nini?

Lakini nadhani hata Samatta anastahili lawama ameshindwa kuwafungulia milango wengine.

Hili kiujumla ni tatizo letu Wabongo, hata upande wa Diaspora ni hivyo hivyo kufunguliana milango ni wazito mtu anataka atambe yeye tu akirudi muwe machawa wake wa kunywa bia za bure.
 
Yaani Samata kanishangaza sana..
Alikuwa anatakiwa anawaalika Tu wenzie wanafanya mazoezi huko Uturuki au kule Belgium baasi
 
Back
Top Bottom