Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sio kazi rahisi km unavyosemaYaani Samata kanishangaza sana..
Alikuwa anatakiwa anawaalika Tu wenzie wanafanya mazoezi huko Uturuki au kule Belgium baasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kazi rahisi km unavyosemaYaani Samata kanishangaza sana..
Alikuwa anatakiwa anawaalika Tu wenzie wanafanya mazoezi huko Uturuki au kule Belgium baasi
Hahahaha,sio rahisi kiihivyo mkuuMzaramo...wa Nigeria hapo Genk Tu sasa tungekuwa na wachezaji kama watano..na Belgium yote kama 20
Unamaanisha $750,000 yaani TSH 1,800,000,000?hiviBado haijawa wazi ila simba wamelipwa dollar 750000
unachoongea ni sahihi Kuna wachezaji wanaachwa huku kwetu wameisha muda mfupi unasikia wamepata timu ila mawakala wa kwetu wanasubiri msimu uishe ndio wanasikikaKuna kijana ni mtoto wa rafiki yangu somebody Mabuyu, yule mtoto aliibuka kuwa mchezaji bora kwenye Copa coca cola iliyofanyika Brazil...
Hivi inawezekana player akawa agent piaSasa mtu kama Kazumari naye ajiite Agent unatarajia nini?
Lakini nadhani hata Samatta anastahili lawama ameshindwa kuwafungulia milango wengine.
Hili kiujumla ni tatizo letu Wabongo, hata upande wa Diaspora ni hivyo hivyo kufunguliana milango ni wazito mtu anataka atambe yeye tu akirudi muwe machawa wake wa kunywa bia za bure.
Sijawai kuona hii ila ninachojua mchezajii anaweza kutumia ushawishi wake ,Hivi inawezekana player akawa agent pia
Pia alikuwa anaweza kutengeneza maagent kuwasaidia wachezaji wetuSijawai kuona hii ila ninachojua mchezajii anaweza kutumia ushawishi wake ,
hujazoea kusoma dola za kimarekani?Vipi bei aliyonunuliiwa ni Bilioni ngapi ?
Nimezoea faranga tu ,Prezidaahujazoea kusoma dola za kimarekani?
Samatta alikuwa na nafasi kubwa ya kutengeneza connection kwa wenzake, ndicho wanachokifanya wachezaji wa West Africa.Hivi inawezekana player akawa agent pia
Upo sahiiSamatta alikuwa na nafasi kubwa ya kutengeneza connection kwa wenzake, ndicho wanachokifanya wachezaji wa West Africa.
Etoo kuchaguliwa kuws Rais wa FF ya Cameroon wao siyo wajinga.
Wewe waitwa popote pema mara Marumo,usm alger yani kwa kifupi ni kiherehere hujawahi kua Yanga acha ulofa.Mm ni YANGA ila Simba mnauza mchezaji ulaya tu hongereni sana
na Kelvin John nadhani yupo GenkSasa mtu kama Kazumari naye ajiite Agent unatarajia nini?
Lakini nadhani hata Samatta anastahili lawama ameshindwa kuwafungulia milango wengine...