Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Kuhusu mshahara?[emoji599] DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa [emoji632] umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba View attachment 2697547
Bado haijawa wazi ila simba wamelipwa dollar 750000Kuhusu mshahara?
Kwani wachezaji wa Tanzania tatizo liko wapi?[emoji599] DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa [emoji632] umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba View attachment 2697547
Ma agent...Kwani wachezaji wa Tanzania tatizo liko wapi?
Tunakwama wapi?
usiseme simba sema Mo dewji amelipwaBado haijawa wazi ila simba wamelipwa dollar 750000
Sasa mtu kama Kazumari naye ajiite Agent unatarajia nini?Ma agent...
Wabongo hatuna ma agents level hiyo..
WA Nigeria na west Africans now wako Wengi Sana hiyo sekta
Mo Dewji ni baba ako???usiseme simba sema Mo dewji amelipwa
Hata mashoga huwa wanaanzaga hivihivi kuzikana jinsia zao.Mm ni YANGA ila Simba mnauza mchezaji ulaya tu hongereni sana
hapana ni baby wakoMo Dewji ni baba ako???
kachezewe na SKUDU hukohapana ni baby wako
Kukuza, kuuza na kurejesha.Kila lenyewe kheri kwake dogo Simba ndio utamadubi wetu kukuza na kuuza pia
Yaani Samata kanishangaza sana..Sasa mtu kama Kazumari naye ajiite Agent unatarajia nini?
Lakini nadhani hata Samatta anastahili lawama ameshindwa kuwafungulia milango wengine.
Hili kiujumla ni tatizo letu Wabongo, hata upande wa Diaspora ni hivyo hivyo kufunguliana milango ni wazito mtu anataka atambe yeye tu akirudi muwe machawa wake wa kunywa bia za bure.
Yote kheri hata RONALDO ALILUDI MAN UNTD
Kiongozi nilikuwa naweka kumbukumbu sawa tu.Yote kheri hata RONALDO ALILUDI MAN UNTD