Pape Sakho atimkia Ufaransa

Kuna kijana ni mtoto wa rafiki yangu somebody Mabuyu, yule mtoto aliibuka kuwa mchezaji bora kwenye Copa coca cola iliyofanyika Brazil...
unachoongea ni sahihi Kuna wachezaji wanaachwa huku kwetu wameisha muda mfupi unasikia wamepata timu ila mawakala wa kwetu wanasubiri msimu uishe ndio wanasikika
 
nimefurahi Sackho kuondoka Simba, alikuwa na kipaji lakini kocha alikuwa anang'ang'ana wazee kina kibu na Saidoo
 
Hivi inawezekana player akawa agent pia
 
Hivi inawezekana player akawa agent pia
Samatta alikuwa na nafasi kubwa ya kutengeneza connection kwa wenzake, ndicho wanachokifanya wachezaji wa West Africa.

Etoo kuchaguliwa kuws Rais wa FF ya Cameroon wao siyo wajinga.
 
Hatimaye Mchezaji wa Kimataifa wa Senegal na zamani Simba Sports Club ya [emoji1241] ajiunga na Timu ya Rouen Metropole ya Ufaransa kwa Mkataba wa miaka mitatu.
.
.
.
#solomatv_updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…