Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Laying low is the best option out there.
Bora wakar kimya tu ili kila mtu afate maisha yake.
bro chingaone heshima kwako. Wewe ungedili na korosho tu achana na akina papiiJamaa walikuja kwa kasi sana walivyotoka jela,this time siwaskii tena licha ya ile ngoma yao "Waambie" kuwa nzuri mnoo iliyoshiba meseji ya Matumaini kuonyesha ujio wao mpya nje ya maisha ya jela.
Nini kimewakuta hawa watabe wa burudani? hii kimya yao sio bure inatia shaka kidogo...
Hakuna mwenye uhakika na tukio lileLaana ya wale watoto waliowamwagia upupu wa kidatu inawatafuna....
nipe dilibro chingaone heshima kwako. Wewe ungedili na korosho tu achana na akina papii
Washajiunga TOT
Wanasubiri kampeni zifike waporomoshe ngoma za kumsifu na kumwabudu JIWE tena kali kuliko WATAISOMA NAMBA na CC MBELE KWA MBELE
Hawa hata ile kesi yao inatia Mashaka sana.. lakini labda wapo jikoni wanasuka madude