Papii Kocha na Babu Seya kulikoni tena?

Papii Kocha na Babu Seya kulikoni tena?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Jamaa walikuja kwa kasi sana walivyotoka jela,this time siwaskii tena licha ya ile ngoma yao "Waambie" kuwa nzuri mnoo iliyoshiba meseji ya Matumaini kuonyesha ujio wao mpya nje ya maisha ya jela.
Nini kimewakuta hawa watabe wa burudani? hii kimya yao sio bure inatia shaka kidogo...
 
hawana vibali vya kufanyia kazi nchini,,wakipanda jukwaani Uhamiaji hao
 
Jamaa walikuja kwa kasi sana walivyotoka jela,this time siwaskii tena licha ya ile ngoma yao "Waambie" kuwa nzuri mnoo iliyoshiba meseji ya Matumaini kuonyesha ujio wao mpya nje ya maisha ya jela.
Nini kimewakuta hawa watabe wa burudani? hii kimya yao sio bure inatia shaka kidogo...
bro chingaone heshima kwako. Wewe ungedili na korosho tu achana na akina papii
 
Hawa hata ile kesi yao inatia Mashaka sana.. lakini labda wapo jikoni wanasuka madude
 
Washajiunga TOT

Wanasubiri kampeni zifike waporomoshe ngoma za kumsifu na kumwabudu JIWE tena kali kuliko WATAISOMA NAMBA na CC MBELE KWA MBELE
 
Labda warumi anajua. huyu member namuaminia kwa data za watu maarufu. Nikiona uzi wake lazima nisome hadi nukta ya mwisho
 
Watafute ishu nyingine ile kesi yao sio nzuri kuja uraini
 
Back
Top Bottom