Pappe Osmane Sakho aanza kukiwasha Senegal

Pappe Osmane Sakho aanza kukiwasha Senegal

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Mchezaji wa Simba SC, POS, jana alianza kuaminiwa na kupewa dakika za kucheza baada ya kocha Ailou Cisse kumpa nafasi kuanzia dakika ya 80 ya mchezo, akimbadilisha Ismailla Sarr, mchezaji wa Watford ya England. Timu kubwa kwa wachezaji wakubwa. Anatengeneza profile.

Big up LUNYASI, mnazidi kujichimbia katika kilele cha mafanikio, maana kuwa na mchezaji anayepata namba katika timu kubwa za taifa kama Senegal sio jambo dogo.
 
Timu imefungwa Kamba 4 unasemaje Sakho kakiwasha?

Aliye kiwasha ni Vini JR bhana...[emoji23][emoji23]

Kama umeingia dakika ya 80 halafu huja create chance, huja assist wala huja funga bao huwezi kusema "UMEKIWASHA"

Nimecheka kifala sana.

Timu ipi imefungwa mkuu[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Timu imefungwa Kamba 4 unasemaje Sakho kakiwasha?

Aliye kiwasha ni Vini JR bhana...[emoji23][emoji23]

Kama umeingia dakika ya 80 halafu huja create chance, huja assist wala huja funga bao huwezi kusema "UMEKIWASHA"

Nimecheka kifala sana.

Brazil 4 vs 1 Guinea (Friendlies....)
Benin 1 vs 1 Senegal (AFCON qualifiers...)
 
Timu imefungwa Kamba 4 unasemaje Sakho kakiwasha?

Aliye kiwasha ni Vini JR bhana...[emoji23][emoji23]

Kama umeingia dakika ya 80 halafu huja create chance, huja assist wala huja funga bao huwezi kusema "UMEKIWASHA"

Nimecheka kifala sana.
Huna akili,

Alipokosa kucheza kabisa mlifungua nyuzi hapa ameenda kutalii,leo kapata nafasi ya kucheza mnataka afunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnahangaika kama wanawake malaya
 
Kutoa sare naa Benin ni sawa na kufungwa.

Timu yenye hadhi ya senegal sio ya kukosa matokeo mbele ya Benin.

Huenda huyo Sakho asinge cheza basi Senegal wangeshinda.
Duh.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mchezaji wa Simba SC ,POS jana alianza kuaminiwa na kupewa dakika za kucheza baada ya kocha Ailou Cisse kumpa nafasi kuanzia dakika ya 80 ya mchezo, akimbadilisha Ismailla Sarr mchezaji wa Watford ya England.....

Timu kubwa kwa Wachezaji wakubwa.......
Anatengeneza profile[emoji122][emoji122]

Big up LUNYASI, mnazidi kujichimbia katika kilele cha mafanikio,maana kuwa na mchezaji anayepata namba katika timu kubwa za taifa kama Senegal sio jambo dogo......
Basi unhesema hata Senegal wamecheza na nani?

Umekirupuka tu
 
Japo sijui mpira sana! Huyo mnayemsema value yake ipoje kwenye transfer market? Kuna vilabu vimeanza kumuwania?
 
Back
Top Bottom