DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Mchezaji wa Simba SC, POS, jana alianza kuaminiwa na kupewa dakika za kucheza baada ya kocha Ailou Cisse kumpa nafasi kuanzia dakika ya 80 ya mchezo, akimbadilisha Ismailla Sarr, mchezaji wa Watford ya England. Timu kubwa kwa wachezaji wakubwa. Anatengeneza profile.
Big up LUNYASI, mnazidi kujichimbia katika kilele cha mafanikio, maana kuwa na mchezaji anayepata namba katika timu kubwa za taifa kama Senegal sio jambo dogo.
Big up LUNYASI, mnazidi kujichimbia katika kilele cha mafanikio, maana kuwa na mchezaji anayepata namba katika timu kubwa za taifa kama Senegal sio jambo dogo.