Kuna mtu jana kaandika "Chama inspired fellow Zambians as they qualify for AFCON 2023"Alifunga?
Alitoa japo assist?
Au ndiyo yale ya kufurahi ukipiga picha na Rais ilhali hupati kitu.
Kuna watu Wana akili mbovu sanaKuna mtu jana kaandika "Chama inspired fellow Zambians as they qualify for AFCON 2023"
[emoji23][emoji23]
Timu imefungwa Kamba 4 unasemaje Sakho kakiwasha?
Aliye kiwasha ni Vini JR bhana...[emoji23][emoji23]
Kama umeingia dakika ya 80 halafu huja create chance, huja assist wala huja funga bao huwezi kusema "UMEKIWASHA"
Nimecheka kifala sana.

Kutoa sare naa Benin ni sawa na kufungwa.Timu ipi imefungwa mkuu[emoji15][emoji15][emoji15]
Kutoa sare naa Benin ni sawa na kufungwa.
Timu yenye hadhi ya senegal sio ya kukosa matokeo mbele ya Benin.
Huenda huyo Sakho asinge cheza basi Senegal wangeshinda.
Huna akili,Timu imefungwa Kamba 4 unasemaje Sakho kakiwasha?
Aliye kiwasha ni Vini JR bhana...[emoji23][emoji23]
Kama umeingia dakika ya 80 halafu huja create chance, huja assist wala huja funga bao huwezi kusema "UMEKIWASHA"
Nimecheka kifala sana.
Duh.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutoa sare naa Benin ni sawa na kufungwa.
Timu yenye hadhi ya senegal sio ya kukosa matokeo mbele ya Benin.
Huenda huyo Sakho asinge cheza basi Senegal wangeshinda.
Basi unhesema hata Senegal wamecheza na nani?Mchezaji wa Simba SC ,POS jana alianza kuaminiwa na kupewa dakika za kucheza baada ya kocha Ailou Cisse kumpa nafasi kuanzia dakika ya 80 ya mchezo, akimbadilisha Ismailla Sarr mchezaji wa Watford ya England.....
Timu kubwa kwa Wachezaji wakubwa.......
Anatengeneza profile[emoji122][emoji122]
Big up LUNYASI, mnazidi kujichimbia katika kilele cha mafanikio,maana kuwa na mchezaji anayepata namba katika timu kubwa za taifa kama Senegal sio jambo dogo......