God bell
JF-Expert Member
- May 13, 2011
- 590
- 210
Habari za jioni wana JF. Leo nilikuwa na jamaa yangu mahali tunapiga story za hapa na pale (ni mtu ambaye ni msomi mzuri tu) ghafla dushelele langu likaanza kuwasha, nikajikuta nikimwambia huyo jamaa yangu 'mbona najisikia dushelele langu linawasha kuna tatizo gani?akaniuliza dushelele ndo nini?nikamuliza hujui akasema hapana....na papuchi...akaniambia hajui pia....nikasema eh!na Kigegedio ndo kabisaaa akaona naongea lugha asiyoijua. Basi nikamweleza tu maana ya haya maneno ila nikamwambia yanazungumzwa na vijana mtaani. Nikatambua kumbe kwa mtu ambaye haijui JF anakosa mambo mengi sana. Pia jana niliona neno geni kwangu kwenye uzi flani hapa kwenye hili jukwaa linaitwa Mpwehele,nikawa najichekea mwenyewe tu.... Ndo nauliza hawa watunzi wa hii lugha ya kiswahili wanayajua haya maneno?....... COPY KWA WANAJF WOTE!!!
Wana mmu poleni na mihangaiko ya hapa na pale napenda kujua hivi haya maneno papuchi,gegedo,kugegeda nani aliyaanzisha humu cc lara 1,mamndenyi,preta