Papuchi, Kugegeda, Dushelele. Je watunzi wa lugha ya kiswahi wanayatambua haya maneno?

Papuchi ni mtambo maalumu wa kukamata nyoka mkorofi mwenye jicho moja...ambaye akifura kwa hasira munkari wake humfanya arushe mate kupitia jicho lake hilo moja.

Kugegeda ni kitendo cha huyo nyoka kufukunyua shimo na kutoka tena nje ya shimo...hufanya hivyo hadi hasira zitapomuisha.
 
aisee we mkareeeee!!!!!
 
Bravoooo
 
ha ha haaaa
haaaa
halafu wewe,
shauri zako.

usitake kunizeeshea mume wangu, kwanza we ulikuwa unambemenda bora hata alikuacha[/QUOTE]
 
Haaaa,
Kwangu ni misamiati hiyo[
pengine Kongosho alikuwa anayajua haya maneno zaidi.

QUOTE=Lady doctor;7236175]hapo kwenye cha kike wazee mnaita kitumbua
na cha kiume mnaita muhogo

sio maneno yangu hayo Mamndenyi ameninong'oneza nikuambie hivyo[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
haaaaa Asprin uzuri wenyewe hauwezi kunikagua[
hata useme maneno ya umbeya kiasi gani.Q

UOTE=Asprin;7236246]Ah huyo Mamndenyi atakuwa bado mdogo sana. Atakuwa kazaliwa miaka ya sitini wakati mimi nikiwa steshen masta waTRC Tabora[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Yetuu
umelimwaga lote ju kwa ju[
haaaQ
umekumbua zamani eeh, ''.......'ngiiterewa mbatu....... ha ha haaa
we haya weeee.

UOTE=Mkirua;7236340] Mamndenyi papuchi ni Mbatu....kwa kiswahili ugoro.....
[/QUOTE]
 
Ipi tena babuuuu.....wewe si babu wa darisalama bana?
Si unajuwa kuanzia Chalinze kuja dar wote vijana tu?

Hahah kwamba shkamoo anaitika baba mzazi tu lol
 
Hata baba mzazi anaweza kuitoa tu hiyo shkamoo kutegemeana na return anazotegemea...
Hujawahi sikia Shikamoo mwanangu kule mndenyi wewe? Nenda Krismass halafu ukute mwaka huo kimatira kimekula mibuni wazee choka mbaya hakuna kahawa uhesabu shikamoo utakazozipata.
 
Nakwambia sijui na Asprin anataka kuterewa

umeonaee...hawa mababu wa kichaga hatari tupu....enzi zile tunaacha wake zetu kule kijijini wametuchapia mbaya....
Siku ya kwanza Mwali kisukari....mara kilo mbili....Akienda buchani Kilo ya nyama tena iliyonona.....mara kikanga cha urafiki au kenya....akiomba ugoro kwanini asipewe aisee...

Hivyo hivyo,
we chezea nundu maini na kiwari weye
kwani hiyo mbatu inamalizika, shauri zenu.

Back
Top Bottom