Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Kahamia kwangu
kama una swali lingine ruksa
kama una swali lingine ruksa
I miss you! Umepatwa na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I miss you! Umepatwa na nini?
Wana mmu poleni na mihangaiko ya hapa na pale napenda kujua hivi haya maneno papuchi,gegedo,kugegeda nani aliyaanzisha humu cc lara 1,mamndenyi,preta
i first heard gegedo/kugegeda from mzabzab. sikumbuki kuhusu papuchi but i think it was him too
kule kaskazini maendeo ya kwetu wanaita kinu aka papuchi
......kinu kyajenga numba kikawura na makari.....
kuna Mpwa wangu mmoja jina kapuni, ni mpenzi sana wa haya maneno nahisi ndio atyakua mwanzilishhi tu.....akibisha namtaja
Wana mmu poleni na mihangaiko ya hapa na pale napenda kujua hivi haya maneno papuchi,gegedo,kugegeda nani aliyaanzisha humu cc lara 1,mamndenyi,preta
Mkirua unamaanisha hawa uliowaita ndo mabingwa wa papuchi na migegedo?
Mkirua unamaanisha hawa uliowaita ndo mabingwa wa papuchi na migegedo?
Au nimekosea?
Najifunza tu usinirushie mastone
Mkuu hekimatele.....sina maana hiyo!
Namaanisha tu kuwa ni wakongwe humu mtandaoni (according to my memory!) so wanaweza kufahamu haya magegedano yalianzia wapi na kwa nani?
Sawa mzee wa KV
Nisalimie kwa mzee Njau pale.
Mkuu hekimatele.....sina maana hiyo!
Namaanisha tu kuwa ni wakongwe humu mtandaoni (according to my memory!) so wanaweza kufahamu haya magegedano yalianzia wapi na kwa nani?