Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna makaribio wala majaribio ni "bata tredi" imefanyika kimtindoAnafanya majaribio kwanza.?
Kivipi mkuu? Hebu elezeaHakuna makaribio wala majaribio ni "bata tredi" imefanyika kimtindo
Jiongeze kidogo tu MkuuKivipi mkuu? Hebu elezea
Naona hata mpira hufwatilii kabisa..Jiongeze kidogo tu Mkuu
Tonombe ametokea wapi kama mbadala wa nani?
Ni anafanya trial ndo wamsajili,maana As Vita ishafanya usajili wa wachezaji kadhaa toka Mauritania na kam watatu hivi toka West Africa. Tshishimbi ni kama wanamcheki fitness yake.Naona hata mpira hufwatilii kabisa..
As vita mawemsajili kiungo kutoka mauritania ambaye ndo mbadala wa tonombe na mwingine winga toka cameroon ambaye ni mbadala wa kisinda.
Yeye mwenyewe Tshishimbi kasema bado hawajafikia makubaliano lakini unamuona anafanya mazoezi huoni kama wanataka kuangalia uwezo wake ndo wamle mkataba?