Papy Kabamba Tshishimbi AS Vita

Papy Kabamba Tshishimbi AS Vita

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Papy Kabamba Tshishimbi aliyemaliza mkataba wake na Yanga yupo njia moja kujiunga na AS Vita kuziba nafasi ya Mukoko Tunombe aliyejiunga na Yanga.

Tshishimbi AS Vita.png
 
Duh....majaribio? Kisa majeraha huyo bwana.
 
Jiongeze kidogo tu Mkuu
Tonombe ametokea wapi kama mbadala wa nani?
Naona hata mpira hufwatilii kabisa..
As vita mawemsajili kiungo kutoka mauritania ambaye ndo mbadala wa tonombe na mwingine winga toka cameroon ambaye ni mbadala wa kisinda.

Yeye mwenyewe Tshishimbi kasema bado hawajafikia makubaliano lakini unamuona anafanya mazoezi huoni kama wanataka kuangalia uwezo wake ndo wamle mkataba?
 
Ni anafanya trial ndo wamsajili,maana As Vita ishafanya usajili wa wachezaji kadhaa toka Mauritania na kam watatu hivi toka West Africa. Tshishimbi ni kama wanamcheki fitness yake.
 
Back
Top Bottom