Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu , yani parachichi moja hapo ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Je hii taarifa umeitoa wapi?
Je unafahamu GDP ya ufarasa? (Hapa ili uelewe elewa huu mfano: Hapo Zimbamwe parachichi moja lauzwa Milioni 20)
Je unafahamu gharama halisi za kulifikisha sokoni hilo parachichi moja?
 
(Hapa ili uelewe elewa huu mfano: Hapo Zimbamwe parachichi moja lauzwa Milioni 20)
1717993295397.png

(kwa wale ambao hawajaelewa logic ya Parachichi moja kwa zaidi ya 20M, hii caption ya picha itasaidia)
 
tatizo ni utaratibu mbovu wa nchi yetu kuhusu kusafirisha mazao, upatikanaji na vibali bado ni tatizo
ni kweli kwa tanzania urasimu wetu ndo unatupa shida huezi amini sisi tunazalisha mara 10 ya kenya ila kenya ndo anaitwa mzalishaji na exporter wa parachichi sababu ya process ndogo sana grading(ubora,ukubwa) na urahisi wa ku export jamani na kenya anatoa maparachichi mengi tanzania mwisho wa siku yeye ndo anachukua tittle ya producer mkubwa http://files.eacce.org.ma/pj/[1569600032]Kenya.pdf. ....sujui lini tutafungua macho kama kwenye tanzanite tz tunatumika vibaya sana sababu ya viongozi wetu kukosa maono na kurahisisha urasimu wakupeleka vitu nje mwisho ....mungu atusaidie
 
Una uhakika Hilo parachichi linalouzwa hiyo bei ni la Tanzania?
Quality control ya vyakula na matunda vinavyoingia ulaya si ya mchezo, kama unakumbuka Asali ya Tabora ili kosa soko huko huko baada ya kuonekana ina contamination ya nicotine, Tabora kunalimwa Tumbaku pia. I
 
Back
Top Bottom