David King 51
New Member
- May 21, 2024
- 3
- 3
Naona wengi mnamponda huyu mwamba alieleta huu uzi kwa me naona sio vibaya kuwa na mawazo ya kutaka kuthubutu kujaribu jambo hata kama unaweza ukawa haupo sahihi kwa namna fulani hapa inatakiwa tuambiane ni parachichi zipi zinauzika Europe na pia mwongozo ni upi mpaka kufikia hatua ya exportation pamoja na gharama zake. anayefahamu atuambie