Ili uingize bidhaa ulaya,marekani au japani mchakato wake sio rahisi kihivyo ,wanaanza kuangalia mpaka udongo uliotimika kulima hayo matunda kama Haina chemicals zozote zenye madhara kwa binadamu.wenzetu wanajali sana afya za watu kivitendo,naamini kabisa kama vipimo vingefanyika tz kwenye zao la nyanya na hoho hakuna mtu angekula nyanya tz.