Parachichi zinatoka Njombe huko hadi Ulaya. Niliona kipindi cha kilimo alichokuwa anaendesha Abdallah Mwaipaya.Huo no uongo bro, kila Siku ndege za ulaya zinakuja kuchukua matunda TZ, pamoja na mboga za majani mchicha, matembele na kisamvu
Kwetu inasomeka elfu 6, kwao ni 1.5 Europarachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Kwa Facebookkwahiyo utafikisha ufaransa kwa whatsApp au
Kama yanafika 200 twenzetu tukachukue hela zetu.Yapoyapo ila bado msimu wake
Japo biashara hii sio rahisi kama ulivyo washauri wenzio. Inahitaji soko na mtaji Kwasababu kupata mzigo wa kujaza container sio pesa Kidogo kontena Lina tani 20 kilo Moja Ina range Tshs 1000- Tshs1800 Kwa kilo Hapo bado mavibaliKwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Elewa nilichoandika kwanza!! Sijasema matunda nimesema parachichi, sio kila parachichi lina sifa ya kuuzwa Ulaya, ni aina moja tu HASS, ndio linasifa ya kuuzwa huko, nalo kuna vigezo lazima vifuatwe tangu upandaji wake hadi kuvunwa kwake.Huo no uongo bro, kila Siku ndege za ulaya zinakuja kuchukua matunda TZ, pamoja na mboga za majani mchicha, matembele na kisamvu
Inshu sio kuliwa tu bali zinasifa ya kuliwa na binadamu anayejali afya yake? Ni parachichi aina ya HASS, tu ndio ina sifa ya kuuzwa soko la ulaya, na lazima iwe imefuata vigezo ktk ulimwaji wake.Parachichi zinazoliwa Tanzania ni zipi na zinazoliwa ulaya ni zipi?
Muwe mnasoma na kuelewa!! Cjasema kuwa haziuzwi ila ni kiasi kidogo sana, kutokana na sifa zinazotakiwa za parachichi, KENYA mbona wanauza sana ni kutokana na kuanza kulima aina ya HASS, inayotakiwa ulaya, na sasa njombe ndio wameanza kulima aina hiyo, ila wengi wao wanalima aina nyingine tu ambazo ndio nyingi tunqzokula ndani ya nchi. Wengi wana shindwa kilimo hicho kutokana na masharti yake, hutakiwi kabisa kutumia madawa, mbolea za viwandani!!Parachichi zinatoka Njombe huko hadi Ulaya. Niliona kipindi cha kilimo alichokuwa anaendesha Abdallah Mwaipaya.
Hahaaa!! Asilimia 90 ya parachichi zinazoliwa Tz, hazina sifa ya kuliwa ULAYA!! tambua hiloh
Hahaaa!! Asilimia 90 ya parachichi zinazoliwa Tz, hazina sifa ya kuliwa ULAYA!! tambua hiloh
Kwani kuna sehemu nimesema hazilimwi Tz? Ni kwa kiwango kidogo sana, mwaka jana tu kuna shehena ya hizo hass avocado ziliharibiwa huko njombe na serikali baada ya kuwa vimevunwa zikiwa bado hazijakomaa, !! Mimi mwenyewe ni mfanya biashara wa mazao, tatizo letu watz biashara zetu nyingi ni za ujanja ujanja tu, sasa ulaya huko hilo halipo!! Na ndipo tunapokwama!! Wao wana vigezo vyao, kuna taasisi moja mkoa wa pwani ilipata tenda ya kupeleka maembe dodo ujerrumani, wakapeleka mala moja tu, wakaacha kuulizwa "ohooo masharti yao ni mengi sana"hass ovecado zinalimwa Tz na zinaliwa sana ulaya chief!. ishu kubwa kama mdau alivyosema hapo ni ukiritimba wa taasisi zetu jaribu kuulizia process za kisafirisha kitu nje utajua hujui. wakenya wata