Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakupinga kuwa USSR haikuwasaidiwa na US. Kuna watu wanaona US ni mtu wa kawaida yaani, huyu jamaa ni mtata toka kitambo na anajiweza kitambo tu.Victory day nchini Urusi ni siku maalumu ya kusherehekea na kukumbuka ushindi wa USSR na nchi washirika katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia mwaka 1945 dhidi ya Ujerumani ya Adolf Hitler na chama cha NAZI.
Nchi washirika upande wa USSR zilizoshinda WW2 ni pamoja na Marekani ambayo ilitoa misaada mbalimbali ya kijeshi na kiraia kwa USSR iliyoiwezesha USSR kukabiliana na uvamizi wa Hitler wa mwaka 1941.
Sio kusaidia kwa namna anavyotaka kutuaminisha hapa,kwwnye vita kubwa kama ile kila Nchi huwa ina take sides.Watakupinga kuwa USSR haikuwasaidiwa na US. Kuna watu wanaona US ni mtu wa kawaida yaani, huyu jamaa ni mtata toka kitambo na anajiweza kitambo tu.
Wanaopinga kuna mawili: hawajui historia, ama wanaijua hiyo historia ila hawataki kukubaliana na huo ukweli kwa makusudi tu pengine kwa sababu ya uhasama wao na Marekani.Watakupinga kuwa USSR haikuwasaidiwa na US. Kuna watu wanaona US ni mtu wa kawaida yaani, huyu jamaa ni mtata toka kitambo na anajiweza kitambo tu.
Kwa hiyo KUMBE marekani alisaidia ili asivamiwe,kumbe RUSSIA kiboko akasaidiwa ili amsaidie.basi sawaSio kusaidia kwa namna anavyotaka kutuaminisha hapa,kwwnye vita kubwa kama ile kila Nchi huwa ina take sides.
Ni kama ilivyo sasa zinapopigwa kura kule Ummoja wa mataifa,katika Vita ya 2 USSR & USA wote walikuwa na adui mmoja Germany-na hiyo ni baada ya Germany kutangaza vita dhidi ya USA.
Majeshi ya Hitler yalikanyaga Moscow na yalikua yakielekea kushinda, Hitler akamega jeshi kupeleka front nyingine,ndipo mkong'oto ulipoanziaWanaopinga kuna mawili: hawajui historia, ama wanaijua hiyo historia ila hawataki kukubaliana na huo ukweli kwa makusudi tu pengine kwa sababu ya uhasama wao na Marekani.
Ukweli ni kwamba, bila ile Lend-Lease Act ya Marekani ya mwaka 1941, leo pengine tungekuwa tunaongea masuala tofauti kabisa, maana majeshi ya Hitler yalikuwa tayari yameshakanyaga Moscow.