Parcel from China to Tanzania (kampuni ya usafirishaji)

Parcel from China to Tanzania (kampuni ya usafirishaji)

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
45
Reaction score
73
Habari Wanajamii,

Natafuta kampuni nzuri nataka kusafirisha kiparcel changu kije Tanzania nataka kampuni iliyonyooka isiyo na longolongo, maana Kuna kampuni mbili nlikwishatumia zilinilet down vibaya mno.

Ambaye ashasafirishiwa na ana experience nzuri pls recommend

Asante
 
Back
Top Bottom