Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?

Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Wasalaam,

Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania?

Kampuni yenye unafuu wa gharama.

Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
 
Kwanza turejee kwenye tittle: "Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?"
Pili tulejee kwenye huu mstari: "Kampuni yenye unafuu wa gharama."

  • Hakuna kampuni ambayo ni "nafuu na haraka"
  • Sababu haraka huenda sambamba na gharama kubwa , sio nafuu.

Je unaposema "haraka " una maanisha minimum siku ngapi? ,

Kuhusu muda: Sidhani kamam kuna kampuni nyingine zaidi ya DHL hapo tunazungumzia mzigo kukufikia toka UK ndani ya saa 72, Hapo tumeondoa hoja (dhana) ya unafuu.
Kampuni yenye unafuu wa gharama.
 
Kwanza turejee kwenye tittle: "Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?"
Pili tulejee kwenye huu mstari: "Kampuni yenye unafuu wa gharama."

  • Hakuna kampuni ambayo ni "nafuu na haraka"
  • Sababu haraka huenda sambamba na gharama kubwa , si nafuu.

Je unaposema "haraka " una maanisha minimum siku ngapi? ,

Sidhani kamam kuna kampuni nyingine zaidi ya DHL hapo tunazungumzia mzigo kukufikia toka UK ndani ya saa 72.

Kwamba 'unafuu' na 'uharaka' haiwezekani vikakaa pamoja. Kuna some elements of truth hapo. Nimejifunza. Thanks.

Uharaka wa maximum 10 days.

Na zisiwe hizo giant companies such as DHL, FedEx, and the like. Hizi hapana!
 
Kc global links ya chris lukosi mzee wa makinikia

Nimecross check hiyo KC global. Ni active. Lakini hao wanatumia "sea and coastal freight water transport". Ni mizigo mikubwa hao. Kwa parcel yangu ndogo KC global haiwezi kuwa chaguo sahihi.
 
Before packing/boxing: 32 x 22 x 17 cm.
After packing: 38 x 36 x 23 cm.

Gross Weight: 16 Kg.

Cc: Mwl.RCT
 
Wakuu, kuna aliyewahi kuwatumia hawa wakenya?

'Air Cargo Global Kenya'

Wanadai wanasafirisha parcels kutoka UK, EUROPE, US, GERMANY, to East Africa.

Ila sioni reviews mtandaoni za kuwahusu.
 
Back
Top Bottom