Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia kampuni za Uingereza, UK to East Africa, Zina aminika zaidi, Na mzigo utaupta kwa wakati.Ila sioni reviews mtandaoni za kuwahusu.
Kwenye website ambapo natarajia kununua.
Kama zipi hizo
Before packing/boxing: 32 x 22 x 17 cm.
After packing: 38 x 36 x 23 cm.
Gross Weight: 16 Kg.
Cc: Mwl.RCT
Au kwa kurahisisha mchakato mwambie seller afanye kila kitu yeye, just mpe ufafanuzi wa kutumia send.parcelforce, hizo gharama za usafirishaji ajumuishe kwenye manunuzi.1. Utawatumia Royal Mail Group kusafirisha mzigo wako
2. kwa details hizo za mzigo ulizotoa, calculator inanesha kuwa utalipia $165 (minimum kwa route ya UK to Dar)
3. Muhimu: Seller itabidi umpe maelekezo kuwa
View attachment 2668053
- 3.1 Mzigo unatumwa kwenda Tanzania | Ambapo utampa detailed address yako, pamoja na namba ya simu
3.2 Muweke wazi seller kuwa sio yeye atakayetuma mzigo bali mzigo utatumwa na Royal mail, kisha mpe hii link (send.parcelforce.com)
3.3 Jukumu la Muuzaji
- 3.3.1 Akupe physical address yake ambayo wewe utajaza kwenye hii website (send.parcelforce.com) | kwamba hapo ndipo unapatikana mzigo wako
- Jukumu lako
- Jisajiri kwenye hii website(send.parcelforce.com)
- Lipia mzigo kwenye ie site unanunua bidhaa husika.
- Confirm na muuzaji ili athibitishe ni ndani ya siku ngapi atakuwa ameandaa mzigo tayari kwa kuchukuliwa.
- Baada ya seller kuwa tayari ame_confirm kuwa mzigo uko tayari, Rejea kwenye hii site, na weka order kwa kulipia mzigo wako, na wao Royal Mail (send.parcelforce.com) wataufuata mzigo kwa muuzaji.
Then endelea kupata update the mzigo wako kupitia tracking number utakayopewa na Royal mail.
Mzigo ukifika nchini | Swala la tozo(TAX/VAT) kuwepo au kuto kuwepo, Siwezi kuzungumzia, sio jukumu langu, ila ni vyema ukajiandaa kwalolote.
==
Au kwa kurahisisha mchakato mwambie seller afanye kila kitu yeye, just mpe ufafanuzi wa kutumia send.parcelforce, hizo gharama za usafirishaji ajumuishe kwenye manunuzi.
Muhimu ni mawasiliano na muuzaji ili akusaidie kwa jinsi unavyo hitaji.
View attachment 2668057
Pia angalia baada ya kujaza hizo sehemu kama bei itabadilika ua haitobadilika.
mtafute member BM X6Before packing/boxing: 32 x 22 x 17 cm.
After packing: 38 x 36 x 23 cm.
Gross Weight: 16 Kg.
Mwl.RCT
DuhMchanganuo wangu ulikua hivi
150USD - gharama ya mzigo
115USD - Fedex (Niliuhitaji kwa haraka SANA) mzigo umetumwa tar 8 tar 10 umeingia TZ
63USD - Clearance service fees (hawa jamaa ndio hawana huruma hata kama mzigo ni wa 10USD gharama zao ni hizo hizo sio poa)
33USD - TRA
12.7USD - TBS
Walikuletea home kwako au ulifata ofisini kwaoHivi karibuni niliwahi watumia hawa wanajiita 'parcelmonkey.co.uk'... parcel kutoka UK to Tanzania.
Nikalipia ada yao ya kusafirishia parcel. Nikawaambia mzigo wangu niupokelee Posta kitengo cha EMS/parcel (Kwa uenyeji wangu pale posta ni ili nipate 'unafuu' wa kodi).
Aisee, sijuwi what happened kwa hao PARCEL MONKEY, mwisho wa siku napata notification ya kupokea mzigo from DHL!!!! Nikatumiwa na Bill ya customs clearance (kodi) kutoka dhl. Balaaaa!
Kuanzia hapo sitakagi kabisa hata kuyaangalia tu yale maandishi yao matatu ya njano 'D H L'
Usishangae ukatozwa 1mil ukitumia DHL.Before packing/boxing: 32 x 22 x 17 cm.
After packing: 38 x 36 x 23 cm.
Gross Weight: 16 Kg.
Mwl.RCT