GE2025 Paresso: Samia alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi alikaa mezani na vyama vya siasa alihakikisha shughuli za kisiasa zinaendelea kwa sababu anatambua umuhimu wa shughuli za kisiasa tukizingatia nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia" ameongeza Paresso

Hayo ameyasema aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso jana Septemba 21, alipokuwa Nzega mkoani Tabora wakati akimnadi mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Unatengeneza tatizo alafu unalitatua mwenyewe ili tukusifie umeleta demokrasia.
Alizuia mwenyewe na akaruhusu mwenyewe, hamna jipya.
 
"alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi alikaa mezani na vyama vya siasa alihakikisha shughuli za kisiasa zinaendelea kwa sababu anatambua umuhimu wa shughuli za kisiasa tukizingatia nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia" ameongeza Paresso

Hayo ameyasema aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso jana Septemba 21, alipokuwa Nzega mkoani Tabora wakati akimnadi mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.

"alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi alikaa mezani na vyama vya siasa alihakikisha shughuli za kisiasa zinaendelea kwa sababu anatambua umuhimu wa shughuli za kisiasa tukizingatia nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia" ameongeza Paresso

Hayo ameyasema aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso jana Septemba 21, alipokuwa Nzega mkoani Tabora wakati akimnadi mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wamerudi kupewa kesi😆😆😆
 
Back
Top Bottom