Hakuna mashabiki humu.Pessi ameaibika
Uzi hauna mashabiki huu.Vintinha anawakaba weka nje
Uzi hauna mashabiki huu.
Ni kweli, wana wachezaji bora sana mmoja mmoja ila hamna timu kabisa.Hapa hakuna timu
Ipo siku watalibeba tu.....kila jambo lina wakati wake.Psg haina vinasaba vya uefa
Psg fans washaanza kumvuruga Messi, nimeona juzi wanamxomea eti haisaidii timu sasa sijui wanatakaje kwa hicho kikosi walichonacho?