Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Huu uzi hauna tofauti na wa Manchester city.
Hakuna washabiki.

NB: Wachangiaji wa uzi wa Man City ni watatu tuu, which is equal na hakuna kitu
 
The average players are the people who can give you trophy when they are on the pitch and not bunch of superstars who play in your team.
 
Psg fans washaanza kumvuruga Messi, nimeona juzi wanamxomea eti haisaidii timu sasa sijui wanatakaje kwa hicho kikosi walichonacho?
 
Psg fans washaanza kumvuruga Messi, nimeona juzi wanamxomea eti haisaidii timu sasa sijui wanatakaje kwa hicho kikosi walichonacho?

Kumvuruga au yeye ndie aliyewavuruga? Kaletwa pale na anakula laki 7 kwa wiki na hapo hujajumlisha Posho. Watu wanataka waone uchawai wanaishia kuona matembezi.
 
Back
Top Bottom