Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Kung'utwa kule
Pigwa sana ka mbwa mwizi
Kumbe Paris nguvu ya soda tu
Bayern kakuweka swafii kabisa
Mi nilitaka upangwe na Madrid 16 bora kumbe nawe walewale 2 si atakutoa
Ila naomba upangwe nae tu siwapendi wale majamaa
Naaminia neymar mtayatoa tu yale majamaa ila si barca
Kwan Mtu akisema Madrid anamaanisha ipi? Namaanisha real wale wengine in atleticoView attachment 645233
Mkuu unazungumzia madrid ipi?
psg waeimarika sana msimu huu mkuu neymar na mbappe wapo vizuri hii mechi haikuwa na umuhimu sana kwao sababu walishafuzu kumbuka hata hao bayern walikula kichapo ufaransa.....PSG INABEBA UEFATatizo la PSG badala ya kutizama udhaifu na matatizo ya timu wapi warekebishe, wao walirukia shangwe na katafuta wachezaji kwa majina na sifa. PSG ilihitaji marekebisho zaidi muhumu kuliko kutumia fedha kwa neymar na mbappe.
Dimaria ni world class attacker. Timu yoyote duniani anacheza. Wao wakamtaftia majina makubwa wanamueka bao.
PSG ilihitaji beki ya kati mbadala wa silva wa kiwango cha juu, kwa kweli silva ameshachoka.
Pia walihitaji beki ya kushoto wa kiwango cha juu sio kama walionae.
Pia walihitaji midifild wakati wakuchukua nafasi ya motta.
Na backup Striker wa cavani.
Badala yake wakavamia akina neymar na mbppe kwa 500 milion na timu ipo vilevile. Kumbuka kipigo cha 6 cha Barca cha mwakajana. Tatzizo sio foward line. Cavani alifunga magoli 50 mwaka jana. Na dimaria alikua na assist tele tu. Defensive ndio tatiozo lilowakost mwaka jana.
Usajali wa mana waloufanya ni wa Alaves tu.
Kinachokufanya uone kama wameimarika ni nini?psg waeimarika sana msimu huu mkuu neymar na mbappe wapo vizuri hii mechi haikuwa na umuhimu sana kwao sababu walishafuzu kumbuka hata hao bayern walikula kichapo ufaransa.....PSG INABEBA UEFA
ligi ya france waanaongoza kwa point nyingi na hawajapoteza kupoteza mechi moja sio sababu ya kuwaona wabovu hakuna timu isiyofungwa bingwa mtetezi madrid kila siku anapokea kichapo, hao bayern nao wanapigwa tu ligi ya kwao bundesliga hakuna timu isiyofungwa nitajie timu moja ambayo haijawahi kufungwaKinachokufanya uone kama wameimarika ni nini?
Labda nikukumbushe kitu, PSG imekua bingwa mara 4 france katika last five years. kwaiyo kuongoza ligi sio kigezo chakua wao wameimarika. kumbuka PSG kichapo cha juzi ni cha mwanzo katika ligi ndani ya mwaka mzima tokea January. wakati ao kina mbappe na neymar wamewasili juzi July. PSG with or without neymar wataukua tu mabingwa wa France. Mpinzani wake mkuu ambae mwaka jana amefanya vizuri wamepoteza zaidi ya wachezaji wa 5 kwenye kikosi chake. Kwaio niwazi kwamba Ligi ya france mwaka huu ni nyeupe.ligi ya france waanaongoza kwa point nyingi na hawajapoteza kupoteza mechi moja sio sababu ya kuwaona wabovu hakuna timu isiyofungwa bingwa mtetezi madrid kila siku anapokea kichapo, hao bayern nao wanapigwa tu ligi ya kwao bundesliga hakuna timu isiyofungwa nitajie timu moja ambayo haijawahi kufungwa
najua hakuna timu iliyokamilika kila idara....ukiwa na foward wakali sana basi defence au kiungo kitapwaya sometimes,,,,,,,PSG wanao uwezo wa kushinda mechi kubwa ndio maana waliwafunga hao bayern na barcelona.......mechi waliofungwa na barca 6 siwezi kuizungumzia sababu refa alifanya makosa mengi mno kuibeba barca.....na hii mechi waliofungwa na bayern ilikuwa ni ya kukamilisha ratiba tu haikuwa na impact kubwa sana tusubiri mtoanoLabda nikukumbushe kitu, PSG imekua bingwa mara 4 france katika last five years. kwaiyo kuongoza ligi sio kigezo chakua wao wameimarika. kumbuka PSG kichapo cha juzi ni cha mwanzo katika ligi ndani ya mwaka mzima tokea January. wakati ao kina mbappe na neymar wamewasili juzi July. PSG with or without neymar wataukua tu mabingwa wa France. Mpinzani wake mkuu ambae mwaka jana amefanya vizuri wamepoteza zaidi ya wachezaji wa 5 kwenye kikosi chake. Kwaio niwazi kwamba Ligi ya france mwaka huu ni nyeupe.
Tatizo la PSG ni udhaifu wakati wakushambuliwa, na mnapokutana na timu kubwa ndipo mnaposhambuliwa. kwa maana iyo matatizo yao hasa yataonekwanwa kwenye Big Game watakapozidiwa kama tulivoona mwaka jana.
Hata mimi nakubali kwamba barca walibebwa, lakini sio sababu yakuwasafisha PSG jinsi ya walivocheza ovyo.najua hakuna timu iliyokamilika kila idara....ukiwa na foward wakali sana basi defence au kiungo kitapwaya sometimes,,,,,,,PSG wanao uwezo wa kushinda mechi kubwa ndio maana waliwafunga hao bayern na barcelona.......mechi waliofungwa na barca 6 siwezi kuizungumzia sababu refa alifanya makosa mengi mno kuibeba barca.....na hii mechi waliofungwa na bayern ilikuwa ni ya kukamilisha ratiba tu haikuwa na impact kubwa sana tusubiri mtoano
Sawa kukosekana kwa motta ni tatizo........nakupinga unavyomponda Neymar......Neymar ndio ameifanya leo PSG ionekane ni timu kubwa na tishio.....hata leo hii watu wengi wanaifuatilia psg kwa sababu ya uwepo wa neymar............neymar ni muhimu sana kwa timu pinzani uwepo wake tu ni nusu ya ushindi.......hata Madrid anaevuma sana ni Ronaldo lakini roho ya timu ni Lukas Modric........kubali kataa neymar ameifanya psg kuwa timu maarufu na tishioHata mimi nakubali kwamba barca walibebwa, lakini sio sababu yakuwasafisha PSG jinsi ya walivocheza ovyo.
Tafauti kubwa ya PSG mechi ya jana na Yamwanzo walioshinda ni Thiago Motta. kukosekanwa kwake ndiko kuloifanya timu iyumbe katikati na nyuma kiujumla. Nahili tatizo halijaanza leo wala mwaka jana. Kumbuka mwaka juzi PSG walipotolewa na Barca vilevile. no Motta tim haieleweki. Mpaka lini tatizo hilo? na motta ana 36 years now. Walihitaji zaidi mchezaji kama Matic ndani ya tim yao kuliko neymar.
Hapo ndo penye tatizo hasa. Wamechase Big Names Kwa kukuza brand na biashara. na hio ndo athari yake.Sawa kukosekana kwa motta ni tatizo........nakupinga unavyomponda Neymar......Neymar ndio ameifanya leo PSG ionekane ni timu kubwa na tishio.....hata leo hii watu wengi wanaifuatilia psg kwa sababu ya uwepo wa neymar............neymar ni muhimu sana kwa timu pinzani uwepo wake tu ni nusu ya ushindi.......hata Madrid anaevuma sana ni Ronaldo lakini roho ya timu ni Lukas Modric........kubali kataa neymar ameifanya psg kuwa timu maarufu na tishio
Shangwe za picha nyingi Ronaldo vs Neymar utafkiri wakifika uwanjani watakua wanatimuna kweli.