Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Kung'utwa kule
Pigwa sana ka mbwa mwizi
Kumbe Paris nguvu ya soda tu
Bayern kakuweka swafii kabisa
Mi nilitaka upangwe na Madrid 16 bora kumbe nawe walewale 2 si atakutoa
Ila naomba upangwe nae tu siwapendi wale majamaa
Naaminia neymar mtayatoa tu yale majamaa ila si barca
IMG-20171205-WA0013.jpg

Mkuu unazungumzia madrid ipi?
 
Tatizo la PSG badala ya kutizama udhaifu na matatizo ya timu wapi warekebishe, wao walirukia shangwe na katafuta wachezaji kwa majina na sifa. PSG ilihitaji marekebisho zaidi muhumu kuliko kutumia fedha kwa neymar na mbappe.
Dimaria ni world class attacker. Timu yoyote duniani anacheza. Wao wakamtaftia majina makubwa wanamueka bao.
PSG ilihitaji beki ya kati mbadala wa silva wa kiwango cha juu, kwa kweli silva ameshachoka.
Pia walihitaji beki ya kushoto wa kiwango cha juu sio kama walionae.
Pia walihitaji midifild wakati wakuchukua nafasi ya motta.
Na backup Striker wa cavani.
Badala yake wakavamia akina neymar na mbppe kwa 500 milion na timu ipo vilevile. Kumbuka kipigo cha 6 cha Barca cha mwakajana. Tatzizo sio foward line. Cavani alifunga magoli 50 mwaka jana. Na dimaria alikua na assist tele tu. Defensive ndio tatiozo lilowakost mwaka jana.

Usajali wa mana waloufanya ni wa Alaves tu.
 
psg waeimarika sana msimu huu mkuu neymar na mbappe wapo vizuri hii mechi haikuwa na umuhimu sana kwao sababu walishafuzu kumbuka hata hao bayern walikula kichapo ufaransa.....PSG INABEBA UEFA
 
Kinachokufanya uone kama wameimarika ni nini?
 
ligi ya france waanaongoza kwa point nyingi na hawajapoteza kupoteza mechi moja sio sababu ya kuwaona wabovu hakuna timu isiyofungwa bingwa mtetezi madrid kila siku anapokea kichapo, hao bayern nao wanapigwa tu ligi ya kwao bundesliga hakuna timu isiyofungwa nitajie timu moja ambayo haijawahi kufungwa
 
Labda nikukumbushe kitu, PSG imekua bingwa mara 4 france katika last five years. kwaiyo kuongoza ligi sio kigezo chakua wao wameimarika. kumbuka PSG kichapo cha juzi ni cha mwanzo katika ligi ndani ya mwaka mzima tokea January. wakati ao kina mbappe na neymar wamewasili juzi July. PSG with or without neymar wataukua tu mabingwa wa France. Mpinzani wake mkuu ambae mwaka jana amefanya vizuri wamepoteza zaidi ya wachezaji wa 5 kwenye kikosi chake. Kwaio niwazi kwamba Ligi ya france mwaka huu ni nyeupe.

Tatizo la PSG ni udhaifu wakati wakushambuliwa, na mnapokutana na timu kubwa ndipo mnaposhambuliwa. kwa maana iyo matatizo yao hasa yataonekwanwa kwenye Big Game watakapozidiwa kama tulivoona mwaka jana.
 
najua hakuna timu iliyokamilika kila idara....ukiwa na foward wakali sana basi defence au kiungo kitapwaya sometimes,,,,,,,PSG wanao uwezo wa kushinda mechi kubwa ndio maana waliwafunga hao bayern na barcelona.......mechi waliofungwa na barca 6 siwezi kuizungumzia sababu refa alifanya makosa mengi mno kuibeba barca.....na hii mechi waliofungwa na bayern ilikuwa ni ya kukamilisha ratiba tu haikuwa na impact kubwa sana tusubiri mtoano
 
Hata mimi nakubali kwamba barca walibebwa, lakini sio sababu yakuwasafisha PSG jinsi ya walivocheza ovyo.
Tafauti kubwa ya PSG mechi ya jana na Yamwanzo walioshinda ni Thiago Motta. kukosekanwa kwake ndiko kuloifanya timu iyumbe katikati na nyuma kiujumla. Nahili tatizo halijaanza leo wala mwaka jana. Kumbuka mwaka juzi PSG walipotolewa na Barca vilevile. no Motta tim haieleweki. Mpaka lini tatizo hilo? na motta ana 36 years now. Walihitaji zaidi mchezaji kama Matic ndani ya tim yao kuliko neymar.
 
Sawa kukosekana kwa motta ni tatizo........nakupinga unavyomponda Neymar......Neymar ndio ameifanya leo PSG ionekane ni timu kubwa na tishio.....hata leo hii watu wengi wanaifuatilia psg kwa sababu ya uwepo wa neymar............neymar ni muhimu sana kwa timu pinzani uwepo wake tu ni nusu ya ushindi.......hata Madrid anaevuma sana ni Ronaldo lakini roho ya timu ni Lukas Modric........kubali kataa neymar ameifanya psg kuwa timu maarufu na tishio
 
Nyinyi nyote wawili hapo juu mnatalk nonsense
Mm nafikir mnaongea kichambuzi kumbe mnaongea kibongobongo
Alibebwa magoli yote 6!!!!!!
Unapigwa sita hafu unasema timu inabebwa
Mbona hatujasikia hao Paris wanalalamika au mashabiki wao?
Ninyi mashabiki ukoko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mnalalamika sn
Acheni kutoa mapovu[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji114] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa kukosekana kwa motta ni tatizo........nakupinga unavyomponda Neymar......Neymar ndio ameifanya leo PSG ionekane ni timu kubwa na tishio.....hata leo hii watu wengi wanaifuatilia psg kwa sababu ya uwepo wa neymar............neymar ni muhimu sana kwa timu pinzani uwepo wake tu ni nusu ya ushindi.......hata Madrid anaevuma sana ni Ronaldo lakini roho ya timu ni Lukas Modric........kubali kataa neymar ameifanya psg kuwa timu maarufu na tishio
Hapo ndo penye tatizo hasa. Wamechase Big Names Kwa kukuza brand na biashara. na hio ndo athari yake.
Hawakua makini kwenye kuboresha matatizo ya timu.
Na kama bado still unatizama mpira unaondeshwa na media za ulaya. Pole sana ndugu.
Mchezaji hawezi hata kupiga pasi vizuri wala kudribull vizuri unaambiwa ndo mchezaji hodari duniani na weye unaamini.
 
Mashabiki wa Bayern Munich walichapisha pesa bandia za noti ya euro 500 zenye picha ya Neymar na kumrushia mchezaji huyo mbrazil wakayt wa ushindi wao dhidi ya Paris St-Germain.
 
Aisee Bayern wanapiga mpira bora PSG pesa ya neymar wangemnunua Coman Kingsley
 
The draw for the Champions League round-of-16 has been made, and there's one clash that stands out as Neymar's PSG take on champions Real Madrid. But there are plenty more storylines to follow. Here's what to watch for.

Real Madrid vs. PSG
Real's punishment for finishing second in Group H could hardly have been more severe -- a tie that many would have fancied for this year's final and one that will eliminate one of the tournament's super-favourites in one stroke.

There is not much head-to-head history to draw upon, two fairly dull group stage meetings in 2015-16 aside, and this will be a matchup to sharpen the senses after both sides were dealt setbacks earlier on in the tournament. Does Tottenham's convincing win over Real suggest the champions, unconvincing this season, are there for the taking? Does the manner in which Bayern Munich defeated PSG on matchday six, avenging their 3-0 loss at Parc des Princes, bring a conclusion that Unai Emery's team are still short of making the final step demanded of them? It promises to be some ride.

Key factor: PSG bought Neymar for exactly this kind of occasion and will expect him to step up here. His record against Real while at Barcelona was reasonable, scoring three goals in four seasons; perhaps more encouraging are the six goals he scored in this year's group stage. Neymar has been linked with a 2019 move to Real in recent days: his performance in this tie will be key to their short-term fate.

Prediction: PSG progress. The French side to banish the ghosts of last season's collapse against Barcelona and -- amid a wave of hype for their Champions League prospects -- send the holders crashing out after a back and forth tie.
 
Tetesi
Mchezaji wa Paris St-Germain Thomas Meunier, 26, amehiusishwa na kuhaka kwenda Manchester United miezi ya hivi karibuni ameandika kwenye twitter kuwa angependa kuhamia Old Trafford. (Daily Express)
 
Meneja wa Paris St-Germain Unai Emery naye nyumba yake imeporwa, na wezi wakaondoka na jezi mbili za Neymar pamoja na nyaraka kuhusu uhamisho na ununuzi wa wachezaji za PSG. (Le Point)
 
Back
Top Bottom