Ulishawahi kuwaona wanajeshi kwenye halfa za ikilu wakiwa wamevalia kijeshi as in vitani?Kitu kinacho shangaza mbona kwa wenzetu sio wale wanajeshi wanavaa hadi kama wako vitani, wakimzunguka kiongozi.
Tusiende mbali ata kwa kagame tuu hapo ni mara chache
Ipi hiyo mkuuHuyu Macron anahistoria fulani maarufu duniani hapa, very interesting.. Ngoja tusubiri.
Hainiusu[emoji57]Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo
View attachment 2119323
View attachment 2119324
View attachment 2119325
View attachment 2119326
Kupenda wanawake wazee.Ipi hiyo mkuu
Hii ndio Tanzania Bhana Ima atoe ela tunakazi nayo tumpigie kazi yake chap,PK kakutana na watoto wa mjini sasa.Mama asikatae kupokea fungu la uhakika vijana wetu waingie Cabo watokomeze yale magaidi. Kagame anakula na kunufaika kiulaini hela ya Hawa jamaa. Yani Kagame janjajanja nyingi alichangamkia deal faster kutinga Cabo wakati SADC wakijadiliana
Sio kweli fuatilia vizuri kwetu wanavaa ceremonial dress nyukundu.Kitu kinacho shangaza mbona kwa wenzetu sio wale wanajeshi wanavaa hadi kama wako vitani, wakimzunguka kiongozi.
Tusiende mbali ata kwa kagame tuu hapo ni mara chache
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo
View attachment 2119323
View attachment 2119324
View attachment 2119325
Mwambie akitoka hapo apitie Uingereza then American alafu amalizie shopping Dubai ila asisahau mpunga Wake kwa Warabu,Masai wako karibu kuamishwa
Alikuwa anaongoza nchi kishamba, ki uswekeni, dunia ni kijiji sasa, huwezi kufanya chochote bila kushirikiana na wenzako, wenzake N. Korea wanashindia mlo mmoja kwa sasa, tena ni msaada kutoka China! 200 years kutoka sasa hii mipaka haitokuwepo tena, think BIGNimemkumbuka Mwamba tu aka Nzilakende, mwendo wa gwaride tu halafu mapumziko Chato.... machuma yakiwashwa Dar alfajiri, huko njiani ni umwamba tu mpaka tunalala dom, akilianzisha dom kesho yake huko njiani ni balaa.. the same akirudi kutoka chato....wale wa kusini washukuru ule moshi pale kwa Membe.
RIP Nzilakende, nchi imepooza sana, watu hawaendi keko tena...