Paris, Ufaransa: Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Emmanuel Macron

Paris, Ufaransa: Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Emmanuel Macron

Yeye kama Rais tunayemwamini anajua na inatosha, au ulitaka watanzania wote milioni 60 tukaingie Ikulu ya Paris kusikiliza wanachoongea? Acha ujinga

Wakishaongea si aje kutuambia au wanaongea mambo yao binafsi[emoji1787][emoji1787]
 
Bi Mikopo anakula bata , 'uku taxPayers tunaumia na inflation
 
Yani kwa sasa Tanzania siasa zimebadilika mno.

Upinzani umehama kutoka ccm na chadema hadi kuwa ccm magufuli na ccm sa100.

Wananchi walio wengi ambao ndio wanyonge bado wanaamini kiongozi mwenye kubeba maono ya Magufuli tu ndio mkombozi wao wa kweli bila kuzingatia anatoka chama gani.

Chadema katika mchapano huu tayari washachanika msamba maana hawana chochote cha kushawishi wanyonge kwa sababu ndio walikuwa mstari wa mbele kumpinga mtetezi wa kweli wa wanyonge.

Hali ikiendelea hivi kuna kila dalili kushuka kwa idadi ya washiriki wa kupiga kura kama ilivyokuwa 2010.

Walamsiki.
Hakuna CCm Magufuli, Kiongozi wao Ndugai tulishakata kichwa, waliobaki wameshauriwa wahame, kama hawataki kuhama watabaki kupiga makelele mitandaoni ila hawana impact yeyote ndani ya chama wala serikali! Maono ya Magufuli yote ambayo yalikuwa mazuri Samia anayaendeleza, mnataka nini cha ziada? Au mnataka wasiojulikana aendelee nao? Mnataka aendelee kuwabeba watu aina ya Bashite na Sabaya? Grow up you guys
 
Wakishaongea si aje kutuambia au wanaongea mambo yao binafsi[emoji1787][emoji1787]
Zuhura atakuambia Chief, ndiyo maana kuna msemaji wa Rais Ikulu, au unataka kulisikia kutoka kwenye mdomo wa Samia na Macron live?
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022

Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo

View attachment 2119323
View attachment 2119324

View attachment 2119325
View attachment 2119326
Mke wa huyo dogo ana miaka zaidi ya 60. Sawa
 
Bi Mikopo anakula bata , 'uku taxPayers tunaumia na inflation
Inflation lazima iwepo kwa sasa, ni miaka mitano ilizuiwa kwa mkono wa chuma, uchumi hauendi hivyo, ndiyo maana huwa kunakuwa na annual increment ya mishahara kila mwaka mpya wa bajeti ili kupambana na hilo, nayo ikanyimwa kwa miaka mitano kwa kutumia uchumi wa Chato, nchi imepitia kipindi kigumu sana miaka 5 iliyopita, ila tutakaa sawa soon! Hata channels zetu za ndani zilinyimwa kuoneshwa DSTV, shida ilikuwa kila mahala!!! Hivi wale watu wasiojulikana waliokuwa wanateka wapinzani wameenda wapi Chief?
 
Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanafanya mambo kwa malengo. Sisi siasa nyingi.

Wamekopa kimkakati na kufanyia mambo ya muhimu sasa wameondokana na mikopo ya lazima wanakopa wakiona kuna uhitaji.

Sisi bila kukopa mambo hayaendi.

Na bado tumewazidi kwa rasilimali.

Huoni kwamba sisi tuna matatizo makubwa sana??
Mijadala kama hii ifike mwisho, maana wewe pia ni sehemu ya nchi hii unamlalamikia nani Sasa, wewe ni sehemu ya mabadiliko ya nchi yako, leta proposal hapa namna gani kama taifa tufanye tutoke hapa tulipo
 
Mwaka wa 61 huu bado sisi ni omba omba.

korea ya kusini, Malaysia na nyinginezo tulikua tunalingana nazo kwa sasa wametuacha mbali.

Sisi tumebakia na IF IF IF .
Kwa hiyo wao hawana madeni sasa?
 
Alikuwa anaongoza nchi kishamba, ki uswekeni, dunia ni kijiji sasa, huwezi kufanya chochote bila kushirikiana na wenzako, wenzake N. Korea wanashindia mlo mmoja kwa sasa, tena ni msaada kutoka China! 200 years kutoka sasa hii mipaka haitokuwepo tena, think BIG
Ngoja tuone mnavyokwenda kula nyasi na hiyo mikopo
 
Kweli kila mtu na bahati yake. Kamavile nawasoma waliokuwa wasaidizi wa awamu iliyopita wanavyowaza
 
Hii ni tafsiri mlioamua kujiandalia kwa ajili ya kujifariji.......sio mbaya, endeleeni kujifariji!
Wiki hii NIMEONA mjinga JF ambae hajui kuwa
hakuna Rais duniani ambae anapaswa kuongea kwa mafumbo labda awe ni Rais mwendawazimu kutokea kuzimu.

Marais wanapaswa kuongea moja kwa moja bila mafumbo ili kila mtu hadi watoto wadogo na watu ambao hawajaenda shule waelewe kauli ya Rais na ndicho alichofanya Samia.Kauli ya Rais haiitaji tafsiri.

Ninyi ambao mnamtetea Rais baada ya kuhamasisha ufisadi hadharani ndiyo mnalazimisha kuwa Rais aliongea kwa mafumbo ili kumtoa katika mkwamo huo.

Unachofanya wewe ni kupaka ufisadi mafuta kwa kutumia mgongo wa Samia.
 
mmh,unamchukia Rais, utakonda bure Kaka,tafuta tu Cha kufanya
Rais ambae anajichukia yeye mwenyewe kwa kuhamasisha ufisadi katika Taifa nitaanza vipi kumpenda?!

Aanze kwanza kujipenda yeye mwenyewe kwanza kwa kukataa ufisadi na kwa kuacha kuhamasisha ufisadi katika Taifa langu pendwa ndipo na mimi nitampenda.Umenielewa Dada Aisha?
 
Back
Top Bottom