Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanafanya mambo kwa malengo. Sisi siasa nyingi.Geopolitics ya hizo nchi ni tofauti na sisi. Ila naheshimu mawazo yako
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya ElysΓ©e leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo
View attachment 2119323
View attachment 2119324
View attachment 2119325
View attachment 2119326
Endelea na njaa yakoNalala njaa
Bila kukopa huwezi kusonga mbele wewe jamaa, Rasilimali gani uliowazidi hao watu? Hivyo vidhahabu vya Geita? Hizo siasa nyingi unaziona sasa tu, kipindi chizi wako yupo Ikulu ulikuwa huzioni, watu kama wewe ni wa kunyonga kabisa, mnafiki mkubwaTofauti yao na sisi ni kuwa wao wanafanya mambo kwa malengo. Sisi siasa nyingi.
Wamekopa kimkakati na kufanyia mambo ya muhimu sasa wameondokana na mikopo ya lazima wanakopa wakiona kuna uhitaji.
Sisi bila kukopa mambo hayaendi.
Na bado tumewazidi kwa rasilimali.
Huoni kwamba sisi tuna matatizo makubwa sana??
Umeongea ukweli, kwenye hizo nchi uwajibikaji upo juu sana..........pesa ikitolewa msaada kwa ajili ya kujenga daraja litajengwa daraja kwa viwango vile vile vilivyokusudiwa, wakati kibongobongo daraja linaweza lisijengwe au likijengwa limechakachuliwa. Tungewajibika kutumia misaada ambayo tumekuwa tukipewa miaka lukuki, hii nchi ingekuwa mbali sana..........Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanafanya mambo kwa malengo. Sisi siasa nyingi.
Wamekopa kimkakati na kufanyia mambo ya muhimu sasa wameondokana na mikopo ya lazima wanakopa wakiona kuna uhitaji.
Sisi bila kukopa mambo hayaendi.
Na bado tumewazidi kwa rasilimali.
Huoni kwamba sisi tuna matatizo makubwa sana??
Mwaka wa 61 huu bado sisi ni omba omba.
korea ya kusini, Malaysia na nyinginezo tulikua tunalingana nazo kwa sasa wametuacha mbali.
Sisi tumebakia na IF IF IF .
Alikuwa anaongoza nchi kishamba, ki uswekeni, dunia ni kijiji sasa, huwezi kufanya chochote bila kushirikiana na wenzako, wenzake N. Korea wanashindia mlo mmoja kwa sasa, tena ni msaada kutoka China! 200 years kutoka sasa hii mipaka haitokuwepo tena, think BIG
Bila kukopa huwezi kusonga mbele wewe jamaa, Rasilimali gani uliowazidi hao watu? Hivyo vidhahabu vya Geita? Hizo siasa nyingi unaziona sasa tu, kipindi chizi wako yupo Ikulu ulikuwa huzioni, watu kama wewe ni wa kunyonga kabisa, mnafiki mkubwa
Dunia ni kijiji kwa sasa Jombaa, mambo ya kujifungia ndani hayapo kwa sasa, Nyerere yalipomshinda hayo akaamua kuachia nchi bila kupenda, huyu mwingine alipoamua kukomaa na ujima wake kilichompata haina haja ya kurudia hapa! We evolve, usipoevolve sheria za Darwin zitakuondoaInakusaidia nini kuongelea miaka 200? Kwa iyo wakati wa huyo mshamba kwa mjibu wako mlikuwa mnashindia mlo mmoja na sasa hivi mnashindia Milo 7? Acha ugaigai wa kuwaza wewe ndo unatakiwa ufikirie nje ya ulipo hapo!
Kufanya uharamia nako ni rasilimali, wewe kama unakaa kifalafala watu watabeba unachomiliki na usiwalaumu, ni ufala wako ndiyo unasababisha kuporwa! Like mimi nikimbeba mkeo usinilaumu mimi, jilaumu wewe na unyonge wako wa kibwegeNiambie rasilimali walizonazo hao Wafaransa kama sio uharamia walioufanya miaka 400 nyuma kuwafikisha hapo? Mana sijawahi jua ardhi yao inanini.
Kuupiga mwingiππππMama endelea kuupiga nwingi, uchungu tayari hukuu,....huyu anazaa (siyo kujifungga) sasa hivi!!!
Endelea na njaa yako
πππ Duh aya banaUshauri: Mama ukiwa unaenda, uende na lidirimu laina aka Dream liner na wabeba box kadhaa unakwenda kuwatelekeza huko...mabaharia ukiwaacha tu hapo Paris wanajua wenyewe namna ya kusurvive...hii itasaidia sana kupunguza tatizo la ajira..
Kile Chuma Kweli Kweli, Jiwe Kweli Mzilankende NomaNimemkumbuka Mwamba tu aka Nzilakende, mwendo wa gwaride tu halafu mapumziko Chato.... machuma yakiwashwa Dar alfajiri, huko njiani ni umwamba tu mpaka tunalala dom, akilianzisha dom kesho yake huko njiani ni balaa.. the same akirudi kutoka chato....wale wa kusini washukuru ule moshi pale kwa Membe.
RIP Nzilakende, nchi imepooza sana, watu hawaendi keko tena...
Mbona sioni barakoa huko Corona imetokomezwa?Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya ElysΓ©e leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo
View attachment 2119323
View attachment 2119324
View attachment 2119325
View attachment 2119326
NIMEONA mjinga hapa JF leo.Huku ndiko kuupiga mwingi?ππππMama endelea kuupiga nwingi, uchungu tayari hukuu,....huyu anazaa (siyo kujifungga) sasa hivi!!!
mmh,unamchukia Rais, utakonda bure Kaka,tafuta tu Cha kufanyaUkiwa mjinga ukaona hiyo suti aliyovaa Jumong unaweza kufikiri kuwa nchi ina Rais.
Mkuu hili nililiona kitambo sana. Sidhani kama atapona mtu hapo[emoji14][emoji14][emoji14][emoji3059]Huyu Macron anahistoria fulani maarufu duniani hapa, very interesting.. Ngoja tusubiri.
Yani kwa sasa Tanzania siasa zimebadilika mno.Bila kukopa huwezi kusonga mbele wewe jamaa, Rasilimali gani uliowazidi hao watu? Hivyo vidhahabu vya Geita? Hizo siasa nyingi unaziona sasa tu, kipindi chizi wako yupo Ikulu ulikuwa huzioni, watu kama wewe ni wa kunyonga kabisa, mnafiki mkubwa
Ulikuwa unajua hivyo pia wakati wa jiwe?Mjinga ni wewe ambaye hujui kuwa sisi raia ndio mabosi wake na tuna kila haki ya kujua yanayojadiliwa maana nchi ni yetu hii.