Yeye kama Rais tunayemwamini anajua na inatosha, au ulitaka watanzania wote milioni 60 tukaingie Ikulu ya Paris kusikiliza wanachoongea? Acha ujinga
Hakuna CCm Magufuli, Kiongozi wao Ndugai tulishakata kichwa, waliobaki wameshauriwa wahame, kama hawataki kuhama watabaki kupiga makelele mitandaoni ila hawana impact yeyote ndani ya chama wala serikali! Maono ya Magufuli yote ambayo yalikuwa mazuri Samia anayaendeleza, mnataka nini cha ziada? Au mnataka wasiojulikana aendelee nao? Mnataka aendelee kuwabeba watu aina ya Bashite na Sabaya? Grow up you guysYani kwa sasa Tanzania siasa zimebadilika mno.
Upinzani umehama kutoka ccm na chadema hadi kuwa ccm magufuli na ccm sa100.
Wananchi walio wengi ambao ndio wanyonge bado wanaamini kiongozi mwenye kubeba maono ya Magufuli tu ndio mkombozi wao wa kweli bila kuzingatia anatoka chama gani.
Chadema katika mchapano huu tayari washachanika msamba maana hawana chochote cha kushawishi wanyonge kwa sababu ndio walikuwa mstari wa mbele kumpinga mtetezi wa kweli wa wanyonge.
Hali ikiendelea hivi kuna kila dalili kushuka kwa idadi ya washiriki wa kupiga kura kama ilivyokuwa 2010.
Walamsiki.
Zuhura atakuambia Chief, ndiyo maana kuna msemaji wa Rais Ikulu, au unataka kulisikia kutoka kwenye mdomo wa Samia na Macron live?Wakishaongea si aje kutuambia au wanaongea mambo yao binafsi[emoji1787][emoji1787]
Mke wa huyo dogo ana miaka zaidi ya 60. SawaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo
View attachment 2119323
View attachment 2119324
View attachment 2119325
View attachment 2119326
Inflation lazima iwepo kwa sasa, ni miaka mitano ilizuiwa kwa mkono wa chuma, uchumi hauendi hivyo, ndiyo maana huwa kunakuwa na annual increment ya mishahara kila mwaka mpya wa bajeti ili kupambana na hilo, nayo ikanyimwa kwa miaka mitano kwa kutumia uchumi wa Chato, nchi imepitia kipindi kigumu sana miaka 5 iliyopita, ila tutakaa sawa soon! Hata channels zetu za ndani zilinyimwa kuoneshwa DSTV, shida ilikuwa kila mahala!!! Hivi wale watu wasiojulikana waliokuwa wanateka wapinzani wameenda wapi Chief?Bi Mikopo anakula bata , 'uku taxPayers tunaumia na inflation
Hahahaha, unataka kusemaje chief?Mke wa huyo dogo ana miaka zaidi ya 60. Sawa
Itakuwa ni siri sana hutajua. Ndiyo ugonjwa wake huo[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Macron anahistoria fulani maarufu duniani hapa, very interesting.. Ngoja tusubiri.
Mkuu...!Ukiwa mjinga ukaona hiyo suti aliyovaa Jumong unaweza kufikiri kuwa nchi ina Rais.
Mijadala kama hii ifike mwisho, maana wewe pia ni sehemu ya nchi hii unamlalamikia nani Sasa, wewe ni sehemu ya mabadiliko ya nchi yako, leta proposal hapa namna gani kama taifa tufanye tutoke hapa tulipoTofauti yao na sisi ni kuwa wao wanafanya mambo kwa malengo. Sisi siasa nyingi.
Wamekopa kimkakati na kufanyia mambo ya muhimu sasa wameondokana na mikopo ya lazima wanakopa wakiona kuna uhitaji.
Sisi bila kukopa mambo hayaendi.
Na bado tumewazidi kwa rasilimali.
Huoni kwamba sisi tuna matatizo makubwa sana??
Kachimbe ulishe familia yako.Maujenzi ya nchi tunakopa.Tumeacha madini yamejaa ardhini tumeenda kukopa.
Kwa hiyo wao hawana madeni sasa?Mwaka wa 61 huu bado sisi ni omba omba.
korea ya kusini, Malaysia na nyinginezo tulikua tunalingana nazo kwa sasa wametuacha mbali.
Sisi tumebakia na IF IF IF .
Ngoja tuone mnavyokwenda kula nyasi na hiyo mikopoAlikuwa anaongoza nchi kishamba, ki uswekeni, dunia ni kijiji sasa, huwezi kufanya chochote bila kushirikiana na wenzako, wenzake N. Korea wanashindia mlo mmoja kwa sasa, tena ni msaada kutoka China! 200 years kutoka sasa hii mipaka haitokuwepo tena, think BIG
Nimechangia maoni yangu mkuuHahahaha, unataka kusemaje chief?
Kuupiga mwingi👇🐒🐒🐒View attachment 2119445
Wiki hii NIMEONA mjinga JF ambae hajui kuwaHii ni tafsiri mlioamua kujiandalia kwa ajili ya kujifariji.......sio mbaya, endeleeni kujifariji!
Rais ambae anajichukia yeye mwenyewe kwa kuhamasisha ufisadi katika Taifa nitaanza vipi kumpenda?!mmh,unamchukia Rais, utakonda bure Kaka,tafuta tu Cha kufanya