Download application ya GEPG. Application hii unapata kila kitu kinachohusu kila taasisi hapa Tanzania.Unaangaliaje madeni?
Ni kietendo cha kuingia na gari tu, ili kutoka lazima ukalipe, ndipo utoke ina anzia 1000 na baada ya hapo kila saa 1000.Mi nachajiwa baada ya lisaa usije ukawa mshamba unaonewa
Silipi na hakamati mtu gari yanguWapendwa natumaini hamjambo.
Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023