Parking fee kamata kamata

Parking fee kamata kamata

Mi nachajiwa baada ya lisaa usije ukawa mshamba unaonewa
Ni kietendo cha kuingia na gari tu, ili kutoka lazima ukalipe, ndipo utoke ina anzia 1000 na baada ya hapo kila saa 1000.
 
Pia wakatisha parking wana mtindo wa kurushiana picha whatsApp. Mfano umepaki kariakoo ana scan kwa mashine yake. Afu anapiga picha ya namba ya usajili kupitia simu, anatuma kwa mtu wa ilala.

Kijana wa ilala anafungua picha anasogeza mashine kupiga picha kwenye simu yake na kitu kinaitika vizuri kabisa.

Madhara parking fee kubwa kumbe wauni wanafukuzia target
 
Wakamate wadaiwe vitu vimeibiwa.. walipe pesa irudi kwa waliowazidi akili... tena mahakani na ikiwa wametoka muda na mwenye gari ana haki.

Hii kitu Cha ajabu duniani.. hao wapangaji kama kweli basi hawana kazi za kufanya.. wakalale tu..

Hii kitu kama upigaji itafika hapa.. tuliombee nchi yetu.
 
Wapendwa natumaini hamjambo.
Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023
Silipi na hakamati mtu gari yangu
 
Back
Top Bottom