Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
huyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
Ulitaka akubali, we kweli chizi.huyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
mbona ney wa mitego amekubali na amealikwa mpaka ikulu?Ulitaka akubali, we kweli chizi.
we akili yako inasemaje?huyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
umefadhiliwa kwa misingi ipi ndg?wamemlipia pesa ya kurecord ama?inwezekana ni hao pia wamefanya ushawishi mpk kwa sizonje kumuita ikulu na kusema"amevutiwa sana na hiyo nyimbo""Hawa watu" wana nguvu sana ya pesa.Hata wimbo wa Ney wa mitego WAPO ukiusikiliza vizuri utagundua kabisa umefadhiliwa na "Hawa watu"."Hawa watu" ni hatari sana duniani kote.Wana.mtandao hatari
Kwa asiye na akili tu ndie atakubaliana na utetez huo hahahahaa "Madaraka ya kulevyaaa" kwann asingeiita "mapenz ya kulevya" eti? Au kwa kua kuanzia sasa watanzania hatupangiwi......tumechukua fmu wenyewehuyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
Na kweli wananguvu maana mpaka Mkulu wa nchi hakulala usiku mzima anausikiliza huo wimbo wa Ney na asubihi akatoa conclusion ya Ney aachiwe huru, hawa watu si mchezo wanawanyima usingizi si kitoto"Hawa watu" wana nguvu sana ya pesa.Hata wimbo wa Ney wa mitego WAPO ukiusikiliza vizuri utagundua kabisa umefadhiliwa na "Hawa watu"."Hawa watu" ni hatari sana duniani kote.Wana.mtandao hatari