(Parody) Video ya madaraka ya kulevya yatoka, na Makonda ndani

(Parody) Video ya madaraka ya kulevya yatoka, na Makonda ndani

Hiyo nyimbo inamuhusu Le mutuz bado cjajua hawa jamaa weusi wanabifu gan na huyu jamaa
 
"Hawa watu" wana nguvu sana ya pesa.Hata wimbo wa Ney wa mitego WAPO ukiusikiliza vizuri utagundua kabisa umefadhiliwa na "Hawa watu"."Hawa watu" ni hatari sana duniani kote.Wana.mtandao hatari
umefadhiliwa kwa misingi ipi ndg?wamemlipia pesa ya kurecord ama?inwezekana ni hao pia wamefanya ushawishi mpk kwa sizonje kumuita ikulu na kusema"amevutiwa sana na hiyo nyimbo"
 
hivi anae nuka miguu alivua viatu na mdomo ni nani..!!maana nasikia sikia hivi vijembe huku makoridoni
 
huyo dogo niki wapili amekanusha amesema hiyo nyimbo haihusiani na siasa niya mapenzi
Kwa asiye na akili tu ndie atakubaliana na utetez huo hahahahaa "Madaraka ya kulevyaaa" kwann asingeiita "mapenz ya kulevya" eti? Au kwa kua kuanzia sasa watanzania hatupangiwi......tumechukua fmu wenyewe
 
"Hawa watu" wana nguvu sana ya pesa.Hata wimbo wa Ney wa mitego WAPO ukiusikiliza vizuri utagundua kabisa umefadhiliwa na "Hawa watu"."Hawa watu" ni hatari sana duniani kote.Wana.mtandao hatari
Na kweli wananguvu maana mpaka Mkulu wa nchi hakulala usiku mzima anausikiliza huo wimbo wa Ney na asubihi akatoa conclusion ya Ney aachiwe huru, hawa watu si mchezo wanawanyima usingizi si kitoto
 
Back
Top Bottom