Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone

Inasomeka hivi...

Waheshimiwa Mapadre Wote,
Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

YAH: TAARIFA MUHIMU KUHUSU PD. CHRISTOPHER FOSUDO

Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu.
Askofu Mkuu wa Dar es Salaam Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaichi OFMCap anatoa taarifa kwamba Padri Christopher Fosudo kutoka Nigeria ambaye alikuwa anahudumu hapa Jimboni kama Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni, hatakiwi tena kuwepo hapa Jimboni Dar es Salaam. Hivyo Askofu Mkuu amemuagiza Padri Fosudo arudi nchini kwake Nigeria.

Fr. Vincent Mpwaji,
Chancellor- Jimbo Kuu la Dar es Salaam

4131231d-9d83-4761-8acd-61fe5ea986fa.jpg
 
Huyo yupo ndani ya mamlaka ya Askofu na mamlaka yake ndio imemuamuru. Kama kaonewa au kuna sababu za chini chini tuelezeni otherwise ni vitu vya kawaida.
 
Back
Top Bottom